Nimefatilia sana hili jambo na kukosa jibu.Kwanini baadhi ya wasanii wetu hawajiamini sijui.Kaja Bill Gates tajiri mkubwa duniani,kenda vijijini na hana body guard hata mmoja,sisi kulikoni?
Ikiwa rumors has it kuwa mastaa wakubwa nollywood, Genevieve Nnaji na omotola Jalade kuwa haziivi kwa muda mrefu, hvi karibuni mastaa hao walithibitisha uvumi huo si Kweli kama watu wanavyoeneza...
Hivi ili uwanja ujae unaweza chukua hadi watu wangapi maana tunaubishano me nilikuwa na sema uwanja unaweza chukua hata watu lak 1 kuna mwngine ana bisha sasa nimekuja kwenu kwa mtu anayejua ili...
Mama Wema Sepetu amshushia kipigo kikali Diana Kimaro na kuapa kumvunja mguu ! Kwa mujibu wa GPL Wema Sepetu siku kadhaa zilizopita alienda Arusha lakini alipewa onyo na mama yake mzazi kuwa ni...
Wadau wa JF celebrities,
Nimeyafuatilia maisha au lifestyles ya waigizaji wanne wa kike wa Nigeria kweli sikuyaamini mafanikio makubwa walioyonayo kimaisha.
Nimemfuatilia Omotola, Genevieve...
Aman iwe juu wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Babu kale kamnyonyoa vibaya sana mzee Wa kutafuta kiki kwenye misiba ya watu na majina ya watu
Mzee Wa kutembea pekupeku
Mzee...
Aman iwe juu
Leo ndo nimeona mtu anajiliza nilikuwaga tu nasikia kuna watu huwa wanajiliza msiban
Yaan mtu analia jiko kavu kamaa dagaa Wa kigoma
Jamaa anajifanya kuongea kwa huzuni huku uson...
baada yakufanya analysis kwa muda mrefu sahivi nampitisha fid q kama msanii bora wa hip hope Tanzania
Fid quote:
Sitaki huko mbele ibaki MISELE au MAJUTO au MILUPO kuwa tele.. YABAKI MADUSKO...
Wimbo wa 'no woman no cry' wa hayati Bob Marley
Leo nilimtembelea rafiki yangu katika story huku tunakula muziki mzuri wa Bob Marley
Ghafla kikaja kibao matata cha no woman no cry akaniuliza...
Nimeona clip za video zikiwaonesha Diamond akiwa Kahama na Harmonise akiwa Mtwara, wakirusha fedha na wanachi wakizigombania. Nauliza tu imekaaje kwenye sheria zetu za fedha?
Habari wadau,baada ya kuswali swala ya IDD leo nimiengia IG nikakutana na mbwembwe za bwana nasibu.
Ametumia helicopter kuingia uwanjani.
Ni wazo zuri ila tahadhari ichukuliwe ile sio gari ya...
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.
Diamond...
Kusema ukweli tangu alikiba aamue kujiweka mbali na ushindani wa mziki wa kibiashara na diamond music industry hainogi tena.
Mziki kwa sasa umetawaliwa na vijana wa wcb tu.,hdi inachosha wanatoa...
habarini zenu wajameni
kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo fleva, na wa afrika mashariki kwa ujumla matumaini yangu ni kwamba mnamjua mtayarishaji wa beats maarufu kwa jina p-majani kinywele...
Jay Z ndiye rapa wa kwanza duniani kuwa bilionea, kwa mujibu wa ripoti ya Jarida la Forbes iliyowekwa wazi wiki hii.
Rapa huyo ambaye ni moja kati ya wafanyabiashara wakubwa ametajwa kuufikia...
Wakenya wameapa kama watakutana na Willy Paul Mbinguni wataomba wahamishiwe motoni .
Willy Paul amekua mwimbaji wa Injili huko kenya.
Haya ndio matatizo ya kuimba Injili hata kanisa hujui lipo...
Binafsi naona kama music kwa sasa Tanzania unabembwa na hawa vijana waasanii wa Wasafi.
Kwa sasa ni nadra sana kuona akina Fid Q , Weusi sijui na akina nani kupata show nyingi za ndani.Naona kama...