Jamani ila zari anajua kupanikisha watu, khaa kwa hiyo zile mbwe mbwe za kuhama ilikua ni geresha au ? Yani nikiangalia video nacheka mbavu sina, yani kama mtu una hasira unaweza pasua simu kwa...
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu
Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye...
Tyson Furry ukipenda muite Gpsy King akiri wazi wazi kwamba Wilder ndiye toughest heavyweight kwa sasa na ndiye the most hardest counter puncher ever, awaonya AJ pamoja na Dillian Whyte wasijiroge...
Mimi ni mmoja wa mashabiki wa msanii Joh makini tangu anatoka akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (Chid benz).
Mwamba wa kaskazini alitikisa anga la mziki na...
Wakuu yuko wapi huyu producer amba ambaye kipindi cha nyuma kidogo alikua maarufu sana iringa baadae akaja kuhamia daresalam!
Alitengeneza ngoma za wasanii wengi mfano Album nzima ya Rama D...
Miss ruvuma 2006 ambaye pia ni muigizaji wa bongo muvi na mwanamuziki Isabella Mpanda ajinadi hadharani kuingilia penzi la Vanesa Mdee na Juma Jux huku akimtusi vibaya Vanessa kwamba si lolote...
Habarini wakuu,naomba kuuliza hivi huyu jamaa O.T wa kitenge siku hizi yuko wapi?Nilikuwa namkubali sana enzi hizo EATV na kipindi cha JUKE BOX baadaye akahamia TBC.Nashauri wadau mlioko humu...
Show yako ya kahama was lit ile ndio definition ya msanii wa kimataifa tume enjoy mpaka watu wakataka usiondoke jukwaani ubunifu ulikuwa wa Hali ya juu, sound ilikuwa nzuri, jukwaa lilikuwa lime...
Kwa mujibu jarida la Kibiashara la Marekani la Forbes, Rihanna amekuwa Mwanamuziki wa Kike tajiri duniani akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Milioni 600(Tsh. 1,378,560,000,000)
Nafasi ya...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kuna huyu bwana mdogo aitwaye majizo mwenye kituo cha EFM ni noma sana yaan clouds nzima wamefyata juu yake bwana mdogo...
Tanzania inazidi kupiga hatua katika investment ya media house's Tuliona azam tv alivokuja na ni azam ni namba moja upande wa TV studio's ila kwenye radio bado.
Upande wa radio hapa tz kuna watu...
Kwenye siku ya Iddi.
Lavalava atakuwa kigoma.
Mbosso atakuwa Tanga.
Rayvanny atakuwa Dar Live.
Harmonize atakuwa Nangwanda Mtwara.
Diamond atakuwa Kahama na Geita.
Zote ni show kubwa sio za...
Hivi uliumizwaje.. Mpaka kuimba huu wimbo
Eti bora wamalize na kutulia......sio kutangazia kuwa yule demu tumemtumia
Barnaba boy.......loverboy
Uzi tayari
Aman iwe juu yenu wakuu msiwe wapuuz kama wafia dini wanao uana kisa wanatofautiana dini, msiwe wapuuz kama wafia dini wanaoitana makafiri kisa wanatofautina dini. Hawaaminian kabisa mkiristo...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habali kinavyo jieleza hapo juu
Yule mdada asiye ishiwa vituko ambaye ni host wa tv na msanii wa kizaz kipya anayejulikana kama gift stanfod aka gigy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.