Kuna baadhi ya watu wanasema media Ni kubwa kuliko msanii lakini me nisema bila msanii no media especially kwa zile za kiburudani,njmeongea haya kwasababu diamond anafanya vizuri pamoja na lebel...
Katika pitapita zangu huko mjengoni insta nkaona habari inatrend sana ya mlimbwende Hamisa Mobeto kutumbuiza Ikulu hadi mkulu kumsifia "kusifiwa na mkulu si mchezo" alisikika mtu mmoja akisema...
Aman itamalaki
Ukienda uganda utakuta wasanii ni watu matajali sana wanaomiliki vitega uchumi, magari na majumba
Ukienda kenya utakuta pia wasanii ni matajiri wanaomiliki nyumba na magari na...
Tangu nihamie mjini kutoka kijijini kwetu miaka ya tisini sikuwahi kuukubali sana muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva na japo kidogo niliwahi kupenda baadhi ya nyimbo za wasanii wa...
Mtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro...
Wakati wanazengo wakisubir kwa hamu harusi ya super staa kutoka katika kiwanda cha bongo movie , Elizabeth Michael , maarufu kama Lulu, Mwanadada huyo amepost video kwenye insta story yake...
Hawa vijana wa kings music ya King kiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wana uwezo mkubwa sana ila naona wamekosa promo kutoka kwa boss wao.
Alikiba jaribu kufanya mziki kisasa uwa-brand...
Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu yuko matatani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa hati ya kumkamata kwa kuruka dhamana.
Wema anakabiliwa na mashtaka ya kusambaza video ya ngono...
Lebo ya Alikiba "Kings music" wametoa ngoma inaitwa Rhumba,Ni ngoma Kali sana,Ila kinacho niumiza ni pale napoona kipaji kikubwa walicho nacho hawa vijana ila maajabu boss wao kashindwa kuwabrand.
Hawa vijana wa kings music ya King kiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wana uwezo mkubwa sana ila naona wamekosa promo kutoka kwa boss wao.
Alikiba jaribu kufanya mziki kisasa uwa-brand...
Hii redid rfa ndio redio pekee inayofika kila kijiji cha nchi hii inazidi hata TBC redio
Ni redio inasikilizwa sana, sina takwimu sahihi ila ni redio ambayo ni miongoni mwa redio inayosikilizwa...
Mi nilijua lile gauni lako la kipaimara ulilovaa kwenye harusi yako ilikua bahati mbaya kumbe ndo fashion zako, Lucy ni muigizaji mzuri sana na anajiheshimu ila huwa unaniangusha kwenye mavazi tu...
Kwa heshima na taadhima, napenda kumleta kwenu mtunzi na mwimbaji bora kabisa wa muziki wa kizazi kipya, kijana na msanii Benson..
Sina maneno mazuri ya kumuongelea kijana huyu, ila nendeni yu-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.