How should I start to elaborate my feelings against you,the truth is clear that Nakupenda bado mpenzi wangu,najua mapedejee wa mjini walikudanganya sana hadi ukanisaliti,kwa muda mfupi tu...
http://nairobiwire.com/2019/06/what-diamonds-mother-said-about-her-lover-cheating-and-fathering-child-with-younger-woman.html
Mama mtoto anaitwa Sharifa Tambaza. Kwa wasioujua huu ukoo wa...
Nimekuwa nafatilia sana filamu za Kanumba, Jinsi binti (Hanipha Daud) almaarufu Jenipha Kanumba alivyoonesha uwezo wake ndio jinsi taswira yake inavyoweza kuja kuonekana katika maisha ya...
jamani warioba anafanya nini tena kitaa,mbona tuliishaanza kuona afadhali???nimetumiwa picha na mdau jamaa kapasuka vibaya,na video ikionyesha anagombana ugomvi wa watoto wa darasa la pili.
dah...
Daaah, huyu dada mpemba ananikosha sana especially sauti yake. Anaitwa Meena Ally ni mtangazaji wa Clouds kipindi cha Amplifaya na kipindi cha Niambie.
Mwenye kujua information zaidi za huyu dada...
Ijumaa ilifanyika interview ya z anton na ferooz Kwenye kipindi Cha block 89 Cha wasafifm ile interview was superb Ila nimependa pale jonijo alivyonuuliza swali ferooz ngoma ipi zako zote uliona...
Umaarufu ni kama uhai...wakati ukiwa juu unakuwa hai..ukishuka unakata roho ya umaarufu unabaki kuwa wa wakaida
Huyu ndugu yangu mtanzania namshauri kwa upendo wakati huu autumie vizuri...
Ulimwengu auna huruma wandugu inasikitisha Sana mtu mwenye mikono na miguu kula pesa ya yatima ambayo watu kwa huruma zao wamechanga kumsaidia mtoto wa marehemu
Nimesikiliza radio moja ya africa...
Muigizaji maarufu bongo , ambaye pia linapokuja suala la fashion huwa hakosei, kupitia ukurasa wake wa instagram , ametangaza ujio wa collection yake mpya ambayo ameipa jina la EM collection ...
Muigizaji maarufu bongo , ambaye pia linapokuja suala la fashion huwa hakosei, kupitia ukurasa wake wa instagram , ametangaza ujio wa collection yake mpya ambayo ameipa jina la EM collection ...
Moja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri...
Katika page yake ya instagram Mtumishi Emanuel Mbasha ameweka picha ya Mtoto wake wa kwanza Elizabeth
Hongera sana Mtumishi umekuza!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.
Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).
Jaman kwa namna ipi na...
Wakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi...
Kuna Media moja imeniomba nipendekeze Jina la Mwanadada ambaye Mimi naona ndiyo anaweza Kusoma vyema kabisa taarifa ya Habari na ana Mvuto kiasi kwamba akiwa anasoma hiyo Habari basi si tu kwamba...
In hip hop life we dont dream to become rich but BIG....Life is not all about being rich but being successfull and happy!!
We are happy as what we dreamed has come into real life...Thug life in...
"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.