Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

“ Nilishindwa kupanda mahakamani, ninapofika kwenye siku zangu huwa napata maumivu makali, nilienda kuchoma sindano ya maumivu, nikapumzika kisha nikarudi nyumbani “ Hivi ni kwanini Wanawake wa...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Wadau miaka ya kati hapa huyu belle 9 alikuwa ni anakuja vizuri mnoo yeye na diamond.. Ila sijui kilimpata nini diamond akampita ndo mpaka leo iko hivi yaani sasa hivi belle akitoa ngoma haishtui...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Naomba kujua taarifa za hawa jamaa maana huyu binti kiziwi ilisemekana kuwa alihukumiwa miaka mitana na ilikuwa 2013, huyu mwingine ilisemekana alihukumiwa miaka sita 2014 maana yake mwakani...
3 Reactions
42 Replies
14K Views
Ameshachanganyikiwa na hakuna analoelewa wala kukumbuka. Pombe na unga vimeshamuathiri ubongo. Msaidieni...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote". Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa...
38 Reactions
7K Replies
583K Views
Diamond platnumz anazungumza na waandishi wa habari juu ya kuanza kwa tamasha la Wasafi festival 2019. "Mwaka huu tutaenda mikoa mingi zaidi ya mwaka jana na watu wategemee burudani zaidi"...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Muigizaji maarufu bongo , ambaye pia linapokuja suala la fashion huwa hakosei, kupitia ukurasa wake wa instagram , ametangaza ujio wa collection yake mpya ambayo ameipa jina la EM collection ...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Embu na Wewe Mdau fanya kusikiliza Wimbo huu wa Champion ambao Rosa Ree Amemshirikisha Rubby, Je Rosa Ree Ndio Rapper Bora wa Kike Kwa Kipindi Hiki ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamuziki Nguli kutoka Kenya yuko nchini kwa ajili ya mapumziko lakini pia kutafuta mchumba. Ameyasema hayo katika mahojiano yake na watangazaji wa Clouds tv Bebi Kabae na Ngoma. Mtangazaji...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
TASNIA ya utangazaji Bongo ina historia pana, lakini hapa nitakuwekea rekodi sawa ya watangazaji wa kizazi kipya wanaong’ara muda wote kutoka katika redio na runinga mbalimbali nchini...
2 Reactions
25 Replies
14K Views
Nimepita mahujiano kati ya nikimbishi na waongozaji wa kipindi cha bar tender mwishoni mwa kipindi waongoza kipindi wakamuuliza swali nikimbishi kuwa andike kirefu cha Wi-Fi, nikimbishi akaanza...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Hakuna utata kwa sasa Nandy is a most well paid female artist kwa bongo now , The chick makes money , plenty of it , na she is trying to live her best life ila sijui kana nini, mi naonaga...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Rapper Rosa Ree Ameachia Wimbo Mpya Siku ya Leo Unaitwa Champion, Katika Track hiyo amemshirikisha Mwimbaji Ruby, Unaweza Kusikiliza Wimbo Huo hapa Chini Mtu Wangu: <center></center> Wameweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna ndege mdogo anamjua mrefu anaspidi sana na kumkamata ni kazi sana. Unachotakiwa ni kumkamata akiwa hai kisha unampeleka kwa fundi wanaojua ni wachache tanga na bagamoyo ila ukiulizia humkosi...
2 Reactions
75 Replies
45K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania imemuonya msanii wa Filamu nchini humo, Wema Sepetu(30), kutokukiuka masharti ya dhamana, vinginevyo haitasita kufutia dhamana yake...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Huyu Dada maarufu,mtangazaji wa kipindi cha redio clouds media kilichojikita kwenye mambo ya mahusiano inavyoonyesha mahusiano yamemtesa sana mpaka ukimsikiliza kwa umakini anawachukia sana...
11 Reactions
73 Replies
16K Views
Habari za huko nyumbani wakuu? Nimeshuhudia kioja cha mwaka hapa London jmapili iliyopita,ilikuwa ni majira ya saa 12 jioni,wakati rafiki yangu kutoka nyumbani aliponiomba nimpe kampani kwa demu...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
" Namshukuru Mungu amenipatia mke mwema sana ana sifa zote nilizokuwa nazitaka, hana kasoro kabisa mke wangu " @mwijaku #Clouds360 #CloudsTV Ninachojua Mimi hata Mwanamke awe Mzuri ( Mrembo )...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Miaka ya hivi karibuni imekua kama Fashion kwa mastaa wa kike nchini ku hang out au kuwa karibu zaidi na wanaume Tata( Mashoga) , kuliko wasichana wenzao, hali hii imekua kwa Kasi sana kuliko...
3 Reactions
68 Replies
17K Views
Matamasha mawili ya mwanamuziki Nguli wa miondoko ya Rumba nchini DRC Kofi Olomide yamefutwa huko nchini Afrika Kusini kutokana na kukutwa na makosa ya ubakaji hivi karibuni dhidi ya mnenguaji...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom