Hii ndio habari iliyopo ,msanii yeyote ukitaka kutenge na media zingine na wasanii wengine jiweke karibu na record label ya WCB.
Dully Sykes amethibitisha Jana wakati anahojiwa na bongo5.,kuwa...
Miss Afrika Kusini, Demi-Leigh Nel-Peters ametwaa taji la Miss Universe 2017 katika shindano ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Planet Hollywood mjini Las Vegas, Marekani...
Amani iwe nanyi wakuu.
Arusha ni jiji lilo barkiwa watu wenye vipaji vya aina mbalimbali,tukiacha muziki hiphop uliozaliwa na kukulia Arusha kuna vipaji vingine kama vya reggae na dance.
Sasa leo...
Baada ya kuona wimbo wa inama wa bwana Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz ukiendelea kusumbua mtaani na kwenye mitandao ya kijamii, kiba akaona isiwe kesi ngoja niuzime huu wimbo kwa kuachia...
Nyie wote mnajuwa kama hamisa mobetto ako na vipaji mingi. Anaimba mziki, model, anaigiza na vingine 😉 Sasa hamisa mobetto ameamua kuanza na career yake ya mpira wa miguu baada ya kufanikiwa kwa...
Habari zenu wana jf, tuende kwenye mada ,ninachogundua wengi wa watanzania hasa sisi mashabiki ,uimbaji hatujui wala anaeimba hatumjui ,ila ushabiki wetu ,ndio hufanya watu waimbaji, tanzania kuna...
Wasalaam...
Habari za haraka zinasema yule mtangazi mzuri kuliko watangazi wote nchini na mwenye shape nzuri kuliko watangazaji wote africa mashariki na kati Diva "loveness" ambaye ni mtangazaji...
Amani iwe nanyi wakuu.Ifuatayo ni orodha ya makada maarufu wanaoalikwa bungeni kwa lengo la kwenda kuongeza ushawishi wa maendeleo kwa vijana.
1.Pierre liquid huyu hayupo kwenye kundi la wasanii...
Urafiki wa kinafiki kati ya Mange Kimambi na Hamisa Mobeto unazidi kutia mashaka kila kukicha.
Mobeto amekuwa akimtupia vijembe vya chinichini Mange Kimambi katika hali ya kuigiza kama utani, pia...
Wapenzi wasikilizaji.
Mpaka leo nyimbo hizi mbili zimefikisha siku mbili.
Wimbo wa Mbosso ukiwa na views 640,000 huku wimbo wa Alikiba ukiwa na views 430,000.
Naomba tutoe maoni. Ni nani...
Nimefuatilia articles nyingi ambazo zinamuelezea bob marley lakini kuna mahali nimekutana na hii kumhusu huyu jamaa..
Kiukweli hapa ameelezewa vizur hata kwa sie ambao tumezaliwa miaka ya 90s...
> Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Klabu ya Barcelona akitokea Ajax Amsterdam amepost picha kupitia ukurasa wake wa Instagram akionekana ndani mbuga hiyo
> Aidha, zipo taarifa pia za Mshambuliaji...
Wakuu habari zenu!
Nikiwa naendelea na harakati zangu huku nasikiliza radio basi imepigwa ngoma moja ya msanii wa kike kutoka THT. Aisee huyu Dada wa kuitwa Jolie mi ananidatisha sana na sauti...
Mwanamziki nguli na number 1 diamond platnumz amefikisha followers mil 7 kwenye account ya insta pia hiv karibuni alifikisha subscribe mil 2 siku zinapozidi anazidi kuongeza fan base nje ya nchi...
Bengali ladies are famous for their beauty all over the world. And when it comes about the beauty of the actresses then I must say that all the actresses of any region are really beautiful. The...
Habari wapendwa!!
Kichwa cha habari kama kinavyo sema!!
Hit Maker wa "INAMA" DIAMOND PLATNUMZ maarufu Chibu Dangote a.k.a Baba yake Tiffa Dangote amekuwa wa kwanza kufikisha subscribers Million...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.