Kila nikiisikiliza kolabo ya Diamond na Fally Ipupa(INAMA) najikuta nafurahia midundo tu na siyo uimbaji wa bwana Nassib Abdul. Najua ni vyema kubadilika lakini wakati mwingine tuangalie na...
Mambo vipi wakuu,
Habari za weekend? Moja kwa moja kwenye mada, Sir nature ni mmoja ya manguli wa bongo flava tangu kitambo mpaka sasa. Hapo zamani necha alikua ana uandishi flani hivi ambapo...
Moja ya vitu vinavyofanya ni.kubali Ali Kiba au King Kiba ni kuwa na tabia za kiume..kutoongea sana, kutojionesha nk pamoja na mambo yoooote nashangaa sioni mkizungumzia jamaa kutaka kupewa uraia...
Shoga kaenda Dubai hiyo caption sasa ukurasa mzima et kujifanya unaonewa wivu, mxieew , ushamba tu unakusumbua, Dubai yenyewe umefikia Deira huko mashenzin, kujifanya unaendesha Lamborghini Mxiee...
Naona kama watu wamezidi kumuandama msanii wetu pendwa na self proclaimed king of bongo fleva Mr. Aki kiba.. Watu wanamzonga zonga kisa tu Dee lebo yake inapaa kwa mwendo kasi wakati Ali eti...
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa Jini Kabula ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke...
Nmefuatilia mahojiano yaliofanyika Cloudfm katika kipindi cha XXL mavoko aliongea kuusu tetesi zinazo zagaa mitandaoni zinazo sema kua kaomba msamaha arudi kwenye lebo yake ya zamani W
Adam...
Msanii wa muziki kutoka katika 'Label' ya WCB Wasafi Raymond amefunguka na kusema kuwa ilifika wakati alikata tamaa kabisa juu ya maisha hususani maisha ya muziki baada ya kusota kwa muda mrefu...
Kilichobaki ni kuanza kuact porn tu maana idea ya kiki ni ileile na safari hii imegoma rekodini video kabisa ya mapenzi apo ndo tutashituka.
Davido anatrend Africa nzima kwa ngoma kali lakini...
Wana jamvi asallam aleykum
Kabla ya yote ninaomba niweke wazi kwamba Mimi nilikuwa shabiki namba mmoja wa mastaa uchwara wa Tanzania hasa wema sepetu (kwa jina maarufu nyumbu au bongolala)...
Mtoto wa Davido anamafuta yake yanaitwa Aurora .
Mtoto wa Davido Amefanya onyesho hilo huko Nigeria na kutambulisha mafuta yake hayo mapya.
Nahizi ndizo picha za yeye na wazazi wake.
Mtoto huyo...
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote...
R.Kelly ameshtakiwa kwa makosa 11 ya unyanyasaji wa kingono, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchini Marekani.
Mahakama imeripotiwa kuonyesha kuwa vitendo hivyo vilifanywa dhidi ya watoto wa...
Je, ni kundi gani la HipHop Bongo linastahili kupewa Crown ya Kundi Bora zaidi kuwahi kutoke?
HBC
Kwanza Unit
Kikosi cha Mizinga
TMK
Manzese Crew
Solid ground Family
Diplomats
Nako2Nako...
Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba.
Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba...
Kuna nyumba ilikuwa sokoni inayofanana na ile Diamond amedai kuinunua South, zinafanana tu ama ni ile ile? Hilo ni swali ambalo hadi sasa wengi wamekuwa wakijiuliza, lakini sasa Bongo5 ina jibu la...