Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka...
Yupo wapi huyu mtu,alikuwaga ni repoter wa itv nina mda cjamsikia,mwenye kujua alipo atujuze.
24 Agosti 2017: Mkuu wa idara ya habari ITV Steven Chuwa (Kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji...
BAADA ya matatizo ya mapenzi, hatimaye msanii Wema Sepetu, ameweka wazi kuwa hataki tena kutembea na masharobaro kwani mapenzi yao yanakuwa hayana malengo zaidi ya kuchezeana.
Akizungumza hivi...
Ila wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa...
Ni moja ya msanii mzuri wa hip hop bongo pia mziki wake unaheshimika lakini toka ameacha kuimba na kuingia kwenye siasa huyu kinachomfelisha ni kutokuwa na msimamo. Mara CHADEMA,ACT na sasa hivi...
jana nikiwa katika pitapita zangu maeneo ya afrikana mbezi beach nikakuta wema amesimamishwa na maofisa wa TRA na polisi wenye mitutu wakaikagua iyo gari na kisha wakaondoka nayo wakiwemo hao...
Kwa wapenzi wa mziki mzuri watakubaliana na mimi kwamba moja ya msanii aliyekuwa anatuburudisha vilivyo na kuyafanya masikio yetu yapate burudani ya kutosha ni huyu bwana mdogo, tulipokuwa...
...Wanajamvi najiuliza hawa Wanasiasa kina Mama(Wabeijing) waliokuwepo Madarakani kama Mawaziri ktk Nusu ya kwanza ya Uongozi wa JK wamepotelea wapi sa hivi na wanajihusisha na nini la kumuondolea...
Leo kuna picha za aibu sana zinasambaa, nimeshindwa kuziweka sababu hazina maadili ya kuwa hapa. Ila nachoweza kusema pole kwa yote yaliyokukuta Ezden.
Una cha kujifunza kwenye mlolongo wa...
Jana wakati akitolea ufafanuzi suala la yeye kuchepeka Hamisa Mobeto,Diamond alisema anashangazwa sana na tabia ya watu kuhusianisha kila rafiki wa dada yake basi yeye anatembea naye huku akienda...
Aise Huyu mama anamafanikio sana na inasemekana ndio tajiri namba moja katika tasnia ya filamu
Utajiri wake:
1.Ana Nyumba Tano za Kifahali dar-es-salaam(Nyingine ni ghorofa mbili,nyingine moja)...
Wasalaam wadau poleni na mfungo kwa wale ndugu zangu waislam chungu cha ngapi Leo??anyway acha niende moja kwa moja kwenye nia,Kuna kipindi kipya Pale usafini FM redio kinaanza Saa mbili usiku...
Tupunguze hasira ya Report ya CAG 2017/2018.
Huyu ni socialite wa huko Rwanda mwenzenu nimebahatika kumuona kwa macho yangu kigali,sikuamini kabisa yaani,uzuri ni kama utamu wa matunda yaani...
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu kwa...
Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M
Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.