Shaken not stirred...hivi toleo jingine la movie hizi pendwa ni lini maana nimesaka online sijaona kitu. Nilichokiona ni mtanzania Kupita Nyong'o kutoka jijini Mwanza atakuwemo kwenye movie hiyo...
Huyu Kaka alikuaga mpole mwenyewe sijui shetani gani kampitia, Na si alikua anajiita Sukari ya warembo huyu, ndio maana siku hizi kila wakati wanagombana na V kwa sababu zisizokua na msingi kumbe...
Huu wimbo unazaidi za masaa 24 yani siku moja na account ya Jamaa inazaidi ya subscribers 7M lakini wimbo hauna hata views 1M
Swali langu diamond anawazidi wapi mbona wimbo wake ndani ya masaa...
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video...
Inaripo website moja kutoka Zimbabwe, Inasemekama mzee Mengi kamuachia jack more than $560M
I love it!!
BREAKING : 75-Year Old Tanzanian Billionaire Dies & Leaves $560m For His 39-Year-Old wife...
Habari wana jukwaa
Leo naomba nimuulize huyu bibie regina mengi...Jee ameolewa?jee ana watoto...hali ya mahusiano jee....
Kwa mnaomjua tafadhali huyu bibie ni mpole sana anavyoonekana mstaarab na...
ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA
Rose Ndauka
MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada...
Wanazengo acheni masihara, Ma photographers wa domo ni Ma handsome bwana , warumi mie ningekua na roho ya kuhonga hawa wa kaka ningewaweka ndani waachane na habari za kutanga tanga kupiga picha...
Mmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia...
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki.
Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara...
Sasa jaman huddah, unatafuta kujichoresha tu , hao wadosi wa ki Nigeria wangeanzia wapi tu kukusingizia kuwa unajiuzaga Nigeria ? Mbona wasimsingizie vera? Hao wanaigeria kwanza wamekujuaje? Na...
Wote ni marafiki, walikuwa yamoto. Mmoja anasapotiwa na superbrand Clouds FM, mwingine anasapotiwa na Wasafi FM.
Wote wana nyimbo Kali, na wote ni wakali kushinda diamond(mzee) na alikiba(mzee)...
Jamani Sasa na wewe kifesi, why would you go to media and brag about another man tying to force you to https://jamii.app/JFUserGuide him ? That's so juvenile, na wewe Harris kapiga, shame on you , kwan mabasha huwaon...
Ikiwa leo ni Mei Mosi , wananchi wa Mbeya wamebahatika kuwa na Sherehe mbili kubwa , moja ni siku ya Wafanyakazi Duniani na nyingine ni siku ya kuzaliwa Mbunge wao , mtu pekee aliyefanikiwa...
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.