1) Kapata forum mbele ya jeneza la mchaga, kuwashambulia wachaga kuwa ni wagumu sana kusaidia walemavu na wahitaji.
2) Kusambaa kwa video chafu ya ng'ono inayodaiwa ni ya hasimu wake mkuu Askofu...
Ndugu wanabodi kwanza nitangulize kuomba radhi kama nitakuwa nimemgusa mtu kwa namna moja au nyingine kwa maneno nitakayo yasema kuusu binti huyu Irene Uwoya
Hivi karibuni binti huyu alifungua...
Achana na HUDDAH na VERA ambao they don't have any specific goals in life other than flying with emirate first class to dubai and around the globe wakishinda ku post pic and buying most expensive...
Mkuu wa mkoa wa Dar amerekodiwa akipewa mikono na baadhi ya wananchi sijui sehemu gani lakini kwa jinsi mazingira yalivyo ni maeneo ya Moshi, ukiangalia watu walioandaliwa kujifanya wanalia na...
Mbali na matatajio ya wengi tulivyotarajia kuwa Gwajiboy angekiri kuwa ile kideo ilikuwa yake na pengine angeomba msamaha, ajiuzulu au kuelezea ilivuja vipi. Gwajiboy akachomoa kama walivyochomoa...
Kuna msemo wa kizungu usemao " Face is the mirror of mind" , kitu chochote kilicho ndani ya mioyo ya binadamu hudhihirika kupitia sura( macho). Ndio maana hata wana psychology na wapelelezi wengi...
The Golden Boy Oscar De La Hoya amtaka Errol Spence apande uzito ili amchallange Saul Arvarez (Canelo) .Oscar De La Hoya amesema mbona Mickey Garcia alikubali kupanda uzito ili apambane na yeye...
Mume wa Flora Mbasha katikat ya mwaka huu baada ya kutifuana na mkewe alimnyoshea kidole Mchungaji Gwajima kuhusika na mkasa katika ndoa yake na mkewe Flora. Tuhuma nzito zilielekezwa kwa...
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili...
Aisee kipindi kilee Bashite ameshikiwa bango na Gwajima nilimuonea huruma sanaa japo nae yulee alikomaa maana anajikweza sanaa.. Yani Gwajiboy akaamua mpka kuprint matokeo ya Bashite akawagiwia...
Jee kuna jambo lolote ambalo umewahi kulishuhudia ama kulijua ambalo watu mashuhuri wa Tanzania wamewahi kulifanya kwa faida ya jamii?
Enzi kina Mr Nice, TMK wanaume, Wema Sepetu na wengineo na...
Ndani ya muda mfupi kumekuwa na mchanganyiko wa matukio kadha na kadha, mara mc pili pili kawekwa ndani, hatujakaa sawa tupo kwenye simazi la kumpoteza tajiri na hii leo kumekua na kimbunga huko...
Nadhani mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania washaiona video hiyo na zaidi ya asilimia themanini wameshasikia au kusimuliwa kuhusu tukio hilo.
Mimi binafsi pia ni mmoja wa watu ambao...
Kiukweli alikiba amekua ni mfano wa kuigwa Tanzania, east africa na Africa kwa ujumla
Zero scandal, zero disrespect of woman! Na anatoa nyimbo za nidhamu zenye ujumbe wa heshima na video kali...
Muigizaji Wema Sepetu ameonesha kuchukizwa na kitendo cha mchungaji kutaka kutumia jina lake kama sehemu ya kupata watu wengi watakao hudhuria ibadani kwake kwa kusema kuwa atamuombea.
Wema...
Tusichukulie poa, mtanzania mwenzetu anapitia wakati mgumu.
Asasi za kiraia pia zisaidie katika hili
UPDATE:
Ray C ametoa majibu kwa wale walioanza kumendea rambirambi zake...
"Nimekuita jamaa yangu kwani hali yangu kama unavyoiona. Rafiki zangu wote wamenikimbia, nimebaki na mama kama unavyoniona ila kumbuka nilikuwa mchezaji mkubwa, naomba jamii inisaidie.
Maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.