Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Duchess of Sussex Meghan Markle mapema leo amejifungua mtoto wa kiume Meghan alijifungua mtoto mnano saa moja asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, na Mama na Mtoto wanaendelea vizuri Prince...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Salam Na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu majombaaaa zangu .. tuzidishe ibada Leo tupo kesho hatupo.... Mze Mengi kasafiri kwa ndege Kwa kutumia F class lakini atarejeshwa Kwa sanduku.. think...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mrembo mwenye undugu na Miss Tz 1999 Rachel Temu ambae amekua maarufu haswa baada ya kua wanarushiana maneno sana na Mange Kimambi Leo ameumbuka vibaya mnoo baada ya kujulikana kwa akaunti yake...
29 Reactions
331 Replies
62K Views
Baada ya hivi karibuni mume wa blogger maarufu nchini, shamimu mwasha aitwaye abdul (17 kwenye list )kukamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya, mwanamama huyo ameibuka na kumchana live mwanamke...
7 Reactions
82 Replies
27K Views
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada.. Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha. Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Nimeanza kumjua huyu bwana kupitia kwa mkewe wa zamani madam flora, kipindi hicho mbasha alikuwa ni mwanaume anayeheshimika na mstaharabu sana, Mbasha alikuwa ni mtu mpole na mnyenyekevu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Handbag nimetoa kwa mwanangu Cassandrah ambae soon anaanza biashara yake ya kwanza kabisa ya kuuza handbags nzuriiii. 90% ya Handbag zake zitarange kati ya $18-%35. very few $40-$50. Na mbili tatu...
2 Reactions
40 Replies
17K Views
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania Jumamosi hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia...
9 Reactions
99 Replies
12K Views
Hakika dunia itasimama kwa muda kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Saul Arvarez (Canelo) na Daniel Jacobs "Miracle Man". Canelo mpaka sasa amecheza jumla ya mapambano 54 ,ameshinda 51...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Hebu Watanzania ifike muda sasa tubadilike na tuacheni kuwa Wapuuzi wa Kiwango cha Kimataifa cha Kujifanya tunajua kila Sababu za Vifo vinavyowatokea Watanzania wenzetu hasa wenye Umaarufu mkubwa...
10 Reactions
40 Replies
5K Views
Msanii wa filamu za Bongo Movie na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amefunguka na kudai anatamani sana kama angetoa Penzi lake kwa Raisi. Wolper amedai anaona ni bora kama atakuwa Kwenye Mahusiano...
2 Reactions
136 Replies
18K Views
Dai yupo dasalama na Zari pia yupooo dasalama ..yatakayotokeya yasije kuwashangaza ..mtaishiya tu kusema eti wanapenda kiki ...... NB... tanzania yaleo watu wenye akili wameshapoteya ma law Q...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawategemei kiki yoyote zaidi ya uwezo wao, ni ngumu kuwachukia maana wana uwezo na hata ukiwachukia utajikuta unaumia na utashindwa kusema kwanini unawachukia. 1.Prof. Jay 2.Mr.Blue
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna watu nchi hii kwa kuwa wanajiona ni maarufu basi wanaweza kufanya kazi yoyote. Leo nimeamua kuwatolea mapovu watu waliojaribu kuimba eti kwa sababu tu ni maarufu. 1. Adam Mchomvu... Bro rudi...
27 Reactions
265 Replies
26K Views
Leo tarehe 01 May ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Marehemu Ruge Mutahaba aliyetangulia mbele za haki miezi miwili iliyopita. Siku ya jana Mwanaye Mwachi Mutahaba aliongea na Millard ayo...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Yule mlinzi wa Diamond Platnumz kwa sasa ni bodyguard wa Zari the Bosslady. Yaani nimeshangaa kweli kweli hadi mida huu bado nashangaa hapa.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mzee wetu ni wiki sasa yupo hospitali taabani lakini anyemuita rafiki yake wa damu ambaye amekuwa akimsifia kila siku ndugu Paul Makonda hadi sasa hajakanyaga kabisa hospitalini kwenda kumuona...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
  • Closed
Ila tuseme tu ukweli Jacky alikua anaishi maisha ya kujibana mno baada ya kuolewa na Mengi, yani ilimbidi avuke age yake na kuacha mambo ya starehe ya kupost picha akiwa sehemu mbali mbali akila...
16 Reactions
44 Replies
14K Views
Watanzania tumezoea kuona sifa za marehemu zikiwa nyingi kuliko mabaya yake. Ukiangalia watu maarufu waliokufa wote utagundua wanapewa sifa lakini wakiwa na madudu kibao tena ya wazi kabisa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni baada ya bwana Almas kujimilikisha wimbo alioshirikishwa na kuondoa baadhi ya vitu vya wenye wimbo Diamond isa version of Judas Escariotes in Africa
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom