Msanii Drake atumia TSh. Bilioni 230 kununua ndege yake
Msanii wa muziki Marekani, Drake amethibitisha kumiliki ndege yake binafsi 'Air Drake' ambayo ni Model 767 yenye vyumba viwili vya...
Kwa masikitiko makubwa napenda kutoa pole kwa familia nzima ya Prof Mutahaba,CMG ndugu jamaa na marafiki kwa kumpoteza kijana mahiri,visionary mastermind wa tasnia nzima ya burudani nchini,hakika...
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi...
Kizuri kula na mwenzio. Ila mademu mna roho mbaya sana yaani kwenye hela ndo unampindua hadi rafiki yako ili umnyakue bwana ake kisa hela. Sasa madam rita anasota na bss yake itv katimuliwa tbc1...
Unajua kifesi kwenye ile Audio alikua anampa mtu umbea tu kwenye simu , hakujua kama anarekodiwa, so akawa anaropoka umbea wote, hata nahis baadhi ya mambo alikua anaficha, Ila hawa watakua tu...
Nilikuwa nimechil tuu ghafla Eatv wakaonesha video ya jamaa mmoja hivi.
Nikajiuliza hii ngoma ya nani mbona imetulia hivii??
Nikaja kucheki wimbo unaitwa sijakusahau '.
Jamaa mwenyewe mwenye hiyo...
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.
kwanza ifahamike WASAFI.
siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa...
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan
Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa...
Wale mliokuwa mnasubiri zali la kuwa queen of social media networks mmechelewa the king himself is now engaged to a woman of his dreams.
Wifi aliyepatikana kigezo chake kikubwa ni kuto MUOGOPA...
Ila Leo tukinao kajua kunikomeshea mtu , kumbe bidada nae yuko vzur kwenye kuchamba🤣, halafu Ana matusi hatari , nimeshangaa Bi kigagula alivyojibu kwa upole vile utadhan Sio yeye, Ila nimegundua...
Few days after her husband departed, Jina la JACKY MENGI ndio Jina liliongozwa kutajwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii, umaarufu wake umeongezeka maradufu Mara Mia ya ilivyokua awali kabla ya...
Kati ya watangazaji wa Clouds FM waliopewa nafasi na hawajui kutangaza basi huyu ni mmoja wao..anachapia mfano hakuna,hawezi kusoma habari(Tangazo let say)...Anabrag brag tu...
Sio wivu ,ila...
Just have a look at people ambao zari Ana hang out nao, then kabisa bila aibu tulikua tunamfananisha na vikatuni vyetu vya hapa bongo ambavyo havijielewi, Ila wabongo Tuna dhambi, zari is a woman...
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.
Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama...
David Beckham amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi sita baada ya kupatikana akitumia simu wakati akiendesha gari.
Kapteni huyo wa zamani wa England amekiri makosa.
Mahakama imearifiwa...
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.