Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Siku za hivi karibuni mtangazaji huyo maarufu amekuwa akihoji wasanii wengi wa nje ya Tanzania wakiwemo Iyanya, Patoranking, Maurice Kirya na sasa amezungumza na hitmaker wa Duro, Tekno Miles wa...
1 Reactions
40 Replies
16K Views
Mmeichek movie ya shoga ya Tino? Jamaa nampa big up sana, kwa kuwa kuna wanaume wachache wenye UTHUBUTU kama Tino, na GUTS pia!! It's hgh time we talk abt these things! Tusijifanye kwamba haya...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds Media. jamaa ni jembe. yeye ndo program manager wa...
4 Reactions
38 Replies
19K Views
Moja ya maproducers fundi kabisa kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava.Alitengeneza hit song nyingi sana kipindi yupo G Records na baadae G 2.Katika wasanii ambao aliwasaidia sana ni Ali Saleh Kiba...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Make up imezidi cheusi dawa, umekuwa kama sanamu la michelin, u look sexy though ,black is always beauty, pendeza sana HAPPY BIRTHDAY mrs Demonte.
2 Reactions
136 Replies
21K Views
Habari, kwa wale mnaopenda celebrity gossip, nimeidaka hii hapa yule mshindi waa BBA , amethibitisha kuwa Wema Sepetu ana ujauzito wake, baada ya wawili hawa kuhisiwa ni wapenzi kwa muda mrefu...
1 Reactions
359 Replies
66K Views
Mi nimfuatiliaji mkubwa wa bss, tokea ilivyaanzishwa tatizo ninaloliona washindi wa bss sio makini hawatoi vitu vipya kuanzia j4 mpaka huyu mariam, kunani? Mbona kimya au fani zenu kuiga nyimbo za...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanyika Party kwa ajili ya mwanaye ‘Prince Dee’. Mrembo huyo alipata nafasi ya kutoa burudani kwa wadau waliojitokeza ukumbini hapo ambapo alionyesha uwezo wake wa...
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Mbunge wa mji mkongwe kupitia CUF,amepata suprise baada ya kutembelewa ghafla na mke wake huko dodoma.mbunge huyu alishangaa kumkuta mkewe yuko reception akimsubiria. Je huu ni wivu au...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Saturday, June 18, 2011WEMA SEPETU ATAKA KUGOMBEA UBUNGE Posted by Abby Hass on 11:44 PM Wema akiwa na Cate HE! Mhusika rasmi katika ‘industry’ ya filamu za Kibongo, Wema Abraham Sepetu...
0 Reactions
76 Replies
11K Views
Ni habari ambazo zimezagaa hapa mjini kuwa ma-super stars hawa wametosana! Wenye taharifa kamili tunaomba data.
0 Reactions
41 Replies
16K Views
Liz Muthoni | NATION Cotu secretary general Francis Atwoli when he addressed workers during Labour Day at Uhuru Park on May 1, 2011. He has worn gold ornaments for over three decades and, as he...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
“Money brings happiness power respect problems enemies and a lot of fake friends but it’s good to have it morng instagram,” ameandika Jux kwenye picha aliyoiweka leo Instagram inayoonesha akiwa...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Msanii wa filamu za kibongo, Hemedy suleiman "PHD" amealikwa nchini zambia kuigiza filamu inayoitwa "Tangled mess",akishirikiana na mastaa wa zambia ,mshiriki wa Bba 8,sulu banda na wanamuziki...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya Kuona Mwili unazidi Kuongezeka na Kuwa Bonge Nyanya Msanii wa Filamu Lulu Michael sasa Ameamua kuingia Gym Kupunguza huo mwili ..Hizo ni Picha Alizoshare na Mashabiki zake
2 Reactions
35 Replies
11K Views
Ilikuwa shida sana kutoka sehemu yoyote ile mpaka utafute sehemu zilipo bajaji kisha upande ndio uanze safari. Ule umbali wa kuzitafuta bajaji unakuta watu wanakushangaa au ukifika stand unaanza...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious. Punga huyo amepania...
3 Reactions
362 Replies
125K Views
Familia ya staa wa Bongo Fleva, Juma Musa ‘Jux’ imeingilia kati ishu ya mwanaume ‘tata’, mkazi wa Dar, James Delicious aliyetangaza kumtaka kimapenzi msanii huyo ambaye ni mpenzi wa Mwanamuziki...
6 Reactions
89 Replies
29K Views
Ile nyumba ambayo Hamisa alidai kanunuliwa na Mondi kumbe ni ya kupanga imeisha kodi.. Cha ajabu Mange alihangaika kumchangishia hela mtandaoni japo anunue kiwanja kupewa hela Hamisa akanunua...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Back
Top Bottom