Uongozi wa shirika letu pendwa siku ya leo wataongea na waandishi wa habari kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu hujuma zinazofanywa na baadhi ya watumishi kuruhusu uuzwaji wa ticket moja...
Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop
" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva...
"Bilnass hawezi kufanana na mimi, mara ya kwanza kusikia jina hilo nilijua ni mabasi mapya ya Mtwara. Hawezi kujiita staa wakati hata Kibaha hajulikani, yeye atulie tu kukiwa na 'birthday' za...
Nasikia kila siku wasanii wanapiga shoo ndio kipato wanachotegemea sana
sasa nachojiuliza sijawahi kusikia kama hili jambo linaongelewa sana kuhusu wasanii wa bongo fleva kulipa kodi mana naona...
Nadhani toka nchi ya Tanzania Imezaliwa mwaka 1961 hakujawahi kutokea album Kali ya Kundi la Hip hop Kama ile iliyokuwa na vichwa vitatu waliotengeneza Kundi linaitwa wachuja nafaka lakini pía...
Kuna kipindi Diamond aliwapa sana hamasa wasanii wenzake kujikita katika miradi ya biashara pale alipofanikiwa kupiga pesa ndefu alipopewa asilimia kadhaa ya biashara ya "diamond Karanga" yeye...
Alikiba ni msanii mkubwa sana ila sasa cha kushangaza nyimbo zake hazina lyrics kwenye platform kubwa kama app ya Musixmatch
Mwana muziki yeyote duniani anayejielewa na kujua anafanya nini lazma...
Huyu dada nampenda sanaa ila historia yake siijui na kama anakashfa na scandel sijazisikia kwa wanaomjua vizuri hebu tupe habari zake
================
Taarifa zaidi na michango toka kwa...
Huyu bwana yuko vizuri sana tena sana...ila kwa sasa ameanza kulewa sifa..
1. Amekuwa mvutaji wa sigara sana
2. Mtumiaji wa pombe sana
3. Watu wake wa karibu wanasema ameanza kiburi...kazinguana...
Staa kutoka kiwanda cha Nollywood , Regina Daniels , Ameshangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha kuolewa na Mzee wa miaka 59 , huku yeye akiwa na miaka 18 tu ambayo alitimiza Mwaka jana october...
Hizi timu zitakuwa Kali Sana. Ni pale Harmonize atakapoamua kuitupa WCB na kuamua kujitegemea kimuziki, itakuwa patashika nguo kuchanika ukisingatia kuwa wore ni wakali wa Bongofleva na Mara...
Sitaki kuamini hii Ndo Mara ya kwanza young Dee anaingia USA, maana sio kwa kutupostia mpaka VISA , kweli ushamba mzigo , Sasa sijui Na huko kaenda kufanya show Au ndo baecation.
Siku hizi naona...
Mm siyo shabiki wa huyu jamaa lakini mwenye hii ngoma salute sana kaua vibaya sana, huchoki kusikiliza. Akiendelea kutoa ngoma kama hii mfulululizo atakamata sana soko la mziki hapa bongo.
Salute...
Msanii nyota wa bongo fleva Vanessa Mdee wamewachana kituo Cha muziki Cha Muziki kwa kusema kimekuwa na upendeleo kwa muda mrefu kwa baadhi ya wasanii.Msanii Bilnass nae alimuunga mkono Vanessa...
1.Huanza kujikita kwenye dini.
2.Kujiweka karibu na washikaji.
3.Kupunguza kujidai (kujiona)
4.Kuongea vizuri na watu
5.Kutumia usafiri wa kawaida
6.Kuimba kama anaanza muziki
7.Kuwaponda...
MWILI ni kitu muhimu sana kinachotakiwa kuthaminiwa na kila binadamu. Huwezi kuwa mtu kamili kama huna mwili, hata vitabu vya dini vinatufundisha kwamba mwili ni hekalu la Roho Mtakatifu hivyo...