Wakuu.
Siku ya Jumamosi taifa zima macho yao yalikuwa pale The Superdome kushuhudia tuzo kubwa za Tanzania music awards lakini kiukweli vitu ambavyo tuliahidiwa na kitu tulichokutana nacho ni...
Katika kampeni inayoendelea kwa sasa ya kutokomeza ushoga Millard Ayo hakutoa sapoti yoyote ile wala kupost habari yoyote inayoashiria kukataza ushoga lakini kwa maajabu kabisa baada ya serikali...
Inahitaji nguvu ya ziada kufika views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube. Hii ni orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo zina zaidi ya...
Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia...
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa.
Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100.
Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio...
Wapenzi wa Comedian wa Teacher Mpamire na wasiyo mjua huyu mchekeshaji ni kiboko kwa kuchekesha Style anayo itumia kushekesha watu ni style nzuri sana
Kibritish chake kipo poa Sana, Kwanza hana...
HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA..
"Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000...
Nguli katika Ujasiriamali na ushauri wa Maisha duniani. Ametunukiwa Doctorate kutoka Chuo Kikuu (jina Kapuni) kwa kazi alizofanya nchini na duniani. Asanteni.
**New Dr in town
🚨
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya...
Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa...
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za...
Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika.
Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na...
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi...
Watu wanasema sana kuhusu ile biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ. Ambayo ilinyongwa na Marehemu Pancho Latino ni biti kali sana,Pia Rashid alikuwa kwenye prime yake.
Zikitajwa biti alinyonga...
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )...
Leo nimeenda duka kubwa la Target nikakuta bango la Flaviana Matata kama model kwenye brand ya nguo marekani ndani ya duka hili kubwa nikaona isiwe tabu nichukue foto kumuenzi binti yetu huyu...
Muimba taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.Pumziko jema Bilal.
Moja ya kazi za Marehemu Bilal enzi za uhai wake