Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana. Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki. Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga...
30 Reactions
95 Replies
11K Views
Hadi sasa bado ni fununu tu,inawezekana ikawa kweli au ikawa kick maana jamaa mwenyewe ashapotea ndiyo njia za kurudi kwenye spotlight hizi halafu ghafla unasikia katoa nyimbo
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau kila nikisikiliza bwana Kitenge a.k.a chumvi akiwa anadadavua magazeti akiwa huko nje ya nchi amabpo mara kwa mara huenda akiwa anapokea link ata aknowledge watangazaji wote kasoro Gerald...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi ikitokea ukaokota begi lenye nguo za Kofi olomide,utazivalia wapi kama siyo kumrudishia tu yeye mwenyewe?
36 Reactions
95 Replies
20K Views
Ngoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na...
23 Reactions
285 Replies
42K Views
Ivan the don alikuheshimu sana,hakuwahi kukuanika kwa lolote!Mwisho wa siku ukamuonesha kuwa umemove on na kujooiianika mitandaoni na Diamond ukijua umelamba dume,kumbe umeruka mkojo na kukanyaga...
2 Reactions
163 Replies
15K Views
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania jumamos hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania jumamos hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Hivi huyu bidada alishawahi kuimba before ? Maana mmh hii ngoma yake kwa kweli ni next level , sijawah kumpendaga huyu dada Ila kazi yake hii mpya , warumi ntakua mchawi nisipomsifia bwana , dada...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Straight to the topic, Wakuu katika pitapita zangu youtube nimekutana na video ya siku za nyuma kidogo (kama 5yrs back) ikimuonesha mwamba Rick Ross akipaform jijini Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Waswahili wanasema ukiona mtu anajifanya hakupendi alafu kila siku anafuatilia maisha yako kila unachofanya basi jua huyo ni shabiki yako mzuri tu Basi ndivyo ilivyo kwa mange kimambi, huwa...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha haraka kama siyo upesi sana anza Kutiririka na Kuserereka zako juu ya kile unachokijua juu ya ' Umaarufu ' wa ghafla na uliokuwa wa ' Kimvumo ' zaidi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam, Ama baada ya Salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa, hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni ya waraka huu ni kutaka kujua je ni uhujumu uchumi au ni...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Najua huku kuna wapambe wa karibu na Alikiba, King Kiba. Najua pia King Kiba ni muumini mzuri tu wa dini yake ya kiislam, bila shaka anafuata mafundisho yake ya kidini vizuri. Ni wakati muafaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi wanazengo, Nyumba kweli ingekua ya Diamond , akina Bi Sandra wangeacha kukanyaga south kweli kila siku wale?, na kama tunavyomjua domo, for all this while wakat wameachana , bila shaka...
27 Reactions
292 Replies
26K Views
Mwanamuziki Wax Dey ambaye ni African Award Winning Super Star toka Nchini Cameroon ameachia Nyimbo Mpya inayoitwa "MAGUFULI". katika kibao hicho kipya alichowashirikisha Ma-Superstar wengine...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…