Hvi karibuni kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya mastaa wameonekana wakimshauri wazi Wazi , msanii Diamond kurudi kwa mzazi mwenzie Zari , kwani wanawake wengi anaotoka nao bado hajawafikia hata...
Nalazimika kusema kati ya mataifa yote duniani, huenda 'waTz' ndio tukaongoza kuwa na watu wenye akili 'ndogo' ama labda tutumie 'hatujatukuka kifikra'..
Sababu za kusema hivi, ni uwezo wetu...
DIAMOND anazidi kudhihirisha kuwa anajificha nyuma ya wasanii wake baada ya kushindwa kutoka vizuri na wimbo mpya.
Skendo iliopo mezani Diamond ameiba wimbo wa msanii chipukizi wa NAMIBIA anaitwa...
Wakubwa habarini.
Ni muda sasa nimekuwa nikimfuatilia Konki liquid kupitia baadhi ya video clips zake Instagram.
Ni MTU poa Sana anavoonekana na mwenye furaha.Umaarufu wake umechagizwa Sana na...
Wadau salam.
Mungu buana, mwache aitwe Mungu. Na akitaka kukupaisha atakupitisha njia ambazo hutoamini macho yako.
Pierre katoka huyo, na kitendo cha Makonda kumponda ndo kimemtoa ile mbaya...
Habari wadau..
Mimi mshabiki wa sanaa nimeshangaa sana mvumo wa radi kutoka almost a month sasa ina views 2.5m na hapo hapo iyena imetoka 4 days ago ina 2.6m.
Management ya king wanakosea wapi...
Kuna watu wanapenda bifu la Alikiba na Diamond liendelee kuwepo wakidai lina manufaa kiuchumi huu ni ujinga hakuna chuki zenye faida my brothers chukua mfano wa mastar wenzenu Tekno & Wizzy Kid...
Nilikuwa napitapita youtube mara nikakutana na audio ya wimbo wake inaitwa I DONT CARE...nimegundua huyu dada ana kipaji kikubwa sana kwa hii Afrika mashariki hata Afrika nzima
Kwanza ana sauti...
Kama miaka kumi au kumi na tano nyuma kuliibuka nguvu ya mziki wa Mwambao ulikuwa muziki ulio kamata soko lake barabara. Wakati huo kulikuwa na wanamuziki kama Marehemu Omary Kopa, na wengineo, ni...
Huyu jamaa naona kadri siku zinavyokwenda naona umaarufu wake unazidi kuongezeka kana kwamba ana nyimbo kali kupitiliza,Mimi ni mfatiliaji na shabiki mkubwa wa nyimbo za Nigeria,kuna wasanii...
Millard Ayo anaweza kuwa mtanzania wa pili baada ya Mwl Nyerere kwenda Marekani kwenye course ya International Visitor Leadership Program mwaka 1960.
Course hii inatolewa kwa International...
She has a good presenting skills, anayejua whereabouts zake atujuze sie wanajamvi kwasababu she is a celebrity...hlf hajasikika kwa skendo yoyote kama hawa celebrities wengine k.v Lulu, Meninah etc
By Yasin Ngitu on January 7, 2017
Uongozi wa label ya Millian Dollar Boys ‘MDB’ iliokuwa unamsimamia rapper Young Dee, amedai hawafanyi tena kazi na rapper huyo kwa madai rapper huyo hana...
Yasemwayo yapo! Ukiusikiliza kwa makini Wimbo wa Muziki wa mkali wa Hip Hop, Shariff Thabeet ‘Darassa’ kisha ulinganishe matukio na baadhi ya mistari katika nyimbo za Nasibu Abdul ‘Diamond...
Chicago,USA.
Ukisikia ssiku ya kufa nyani miti yote uteleza ndio haya yanayomkuta mwanamuziki R Kelly.
Mwanamuziki huyo ambaye amepitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa...
Mzee Abdul ambae ni baba mzazi wa Diamond na Queen Darlin baada ya kuachia ngoma ambayo kaipa jina la dudu la yuyu amesema wimbo huo kwa sasa unatrend sana na imepokewa vyema na mashabiki pamoja...
Diamond is currently on a tour of Europe, he has already performed in two cities in the UK. The singer’s performance in Birmingham was however rocked with violence.
Diamond performed in...
MSANII matawi ya juu katika tasnia ya filamu Bongo, Husna Mohamed Posh Dotnata amefanya kufuru baada ya kutoa burungutu kununuamkoko wa kifahari aina ya Hummer, Amani Jipya limeinyaka...
Ashukuriwe Mungu aliye juu, tukiwa kwenye wiki takatifu, wiki ya kufufuka kwa mkombozi wa ulimwengu YESU KRISTO hatimaye shetani ameaibika tena baada ya maombi ya kumwombea mtumishi wa Mungu Rose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.