Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naona kama amedata mara anaacha kunyoa nywele za kwapa huku akizionyesha hadharani. Mara anataja wanaume waliomsokota na vimbwanga kibao..Fanyeni hima Mumnusuru ndugu yenu. Sent using Jamii...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Sijui kwanini nahisi kama msiba wa watu Hawa wawili umefutika mapema mno mioyoni mwa wengi. Nilitaka angalau kuendelea kusikia Mambo mbalimbali ya kujifunza, kuhamasika, kujikumbusha n.k kuhusiana...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Kama sijakosea kipindi hiko kilianzishwa mwaka 2011 na kilijizolea umaarufu sana pia kikapata wadhamini wengi, Japo kwa sasa umaarufu wake sio kama awali kilipokuwa kinaanza, Na inasemekana ni...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nyimbo ya kwanza kumtambulisha ommydimpoz kwenye bongo fleva ni Nai nai , ommydimpoz fet alikiba Published Jan 15,2012 Nyimbo ya pili ni Kajiandae ommydimpoz fet alikiba Published Nov 5,2016...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Yule msanii celebrity class A,mwanadada mwenye talent kubwa kabisa barani Afrika,role model kwa wasichana teenagers na wanafunzi wa kike ametikisa mji wa Mtwara kwa kufanya show kali iliyowaacha...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Baraza la Sanaa nchini limeufungia wimbo mpya wa mwanamuziki Rayvanny aliomshirikisha Diamond likisema unahamasisha masuala yaliyo kinyume na maadili ================================== Baraza la...
1 Reactions
145 Replies
29K Views
Mzuqa! Kila nikisikiza kibao chake if I could turn the hand of time yani I become very emotional. Tumuombeeni Robert asifungwe. Akipatwa na hatia atafungwa miaka 70. Huu uonevu wa blacks ni too...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Mjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo. Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale! Et kweli...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Msanii mbosso amesema hakuna sehemu nimesema nimenunua nyumba nilichofanya ni kuwashukuru mashabiki wangu walioniwezesha nimepata nafasi ya kujiifadhi lakini sijasema nimenunua nyumba. Hatahivyo...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Hi.. Every one ....? Before sija-zungumza chochote katika uzi huu please hii thread ni kwa ajili ya fans of HIP HOP MUSIC tu please over please #TeamMziwanda LOL, if you don't know any...
13 Reactions
169 Replies
66K Views
Ukiachana na yaliyopita kipindi cha mwanzoni wa ujana wake, DC jokate wa wilaya ya kisarawe ni mwanamke shupavu sana, anajua kujiongeza na hakika atailetea maendeleo kisarawe, ningekuwa ni raisi...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
kumbukumbu isiyopotea
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Harmonize ndo king wa bongo F na east Africa Kwa sasa .. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Muda huu mwili upo katika ukumbi wa staples center Los Angeles, ambapo viongozi ndugu jamaa na marafiki wanatoa speech kuhusu maisha ya nipsey kw ujumla. hapo chini ni ramani inayoonyesha mahali...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wanachakarika kweli kutafuta hela ya mboga...nimeipenda hii. Ila bado kuna tatizo kubwa sana linaendelea kwenye bongo zao..hasahasa mke Au sijui alijisahau akatinga kiwalo chake alichopenda...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kaka mkubwa amepunguza kilo kadhaa na kupendeza. Sujui ndiyo maandalizi ya harusi. Hongera kaka kwa ku make effort.
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii kulivuja video ambayo ilikuwa inamuonesha Mjasiriamali na mtu maarufu mitandaoni, Lemutuz akiwa utupu hatimaye Wakili Msomi Alberto Msando ametoa neno...
3 Reactions
115 Replies
16K Views
Wana if. nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji. Duninian kila...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Back
Top Bottom