Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo.. Au mume ya mutu? ======== Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe. Flavy na...
2 Reactions
136 Replies
65K Views
Naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani...
0 Reactions
389 Replies
102K Views
Wadauz; Leo hebu tuwajadili wanawake waliofanikiwa kwa kila proffesional anayoifanya wa Kitanzania kuanzia biashara, kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, makampuni, sanaa na...
0 Reactions
95 Replies
19K Views
Wapambe kazi kwenu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Anaitwa Addo November ..soma hapa chini Hivi maisha gani sijayaishi? Najua kuwa na Pesa najua Kufulia katika Mambo Yote nimegundua Bila Mungu basi hatima yako iko mashakani. Kipindi hicho...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii habari itakuwa na ukweli nimesikia muda huu kwenye redio jembe ni jembe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Tamasha hili linafanyika ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere posta jijini Dsm na liko mubashara luningani Clouds. Karibu!
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Adai alimfata makonda Toka mwaka Jana na hakumsaidia lolote. Awaasa wajane wamtegemee mola peke yake Sent using Jamii Forums mobile app
10 Reactions
56 Replies
12K Views
Ndoa ya Billionea namba moja duniani mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya mauzo mtandaoni ya Amazon Jeff Benzos na mkewe MacKenzie Bezos imeingia mchanga baada ya wanandoa hao kuamua kila mmoja...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu rapper wa kike aliyewahi kutikisa nchini Tanzania, Rah P amekuwa kimya na kuendelea na maisha yake nchini Marekani. Lakini wengi hawajui tabu na shida alizozipata baada ya kwenda...
7 Reactions
65 Replies
25K Views
Namuona Piere akiwa kwenye VX akila zake kiyoyozi huku amekunja nne akila keki ya taifa. Namuona Piere akizunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, tarafa kwa tarafa, kata kwa kata na mgombea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa hali ambayo imedhihirika imepangwa ili kumchafua Pierre Liquid, watu wameanza kujitokeza kueleza kuwa wamezaa na Pierre. Tukumbuke mambo kama haya yalitokea nyakati za nyuma kuwachafua watu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ermias Davidson Asghedom kijana wa miaka (Agusti 15, 1985 – Mach 31, 2019), akijulikana kwa jina la sanaa kama Nipsey Hussle. Ni msanii wa sanaa ya muziki wa kufoka foka (Hip Hop) kutoka Calfonia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa siziamini baadhi ya Kauli hasa hii isemayo ' Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea Mwendo wake ' ila kwa kadri ambavyo naanza Kumuona Pierre Konki Liquid tokea adhihakiwe na adharauliwe na '...
18 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii ni familia ya muziki wa Bongo fleva wote wametoa ngoma Tuambie Wana JF katika hizi ngoma ipi Ni Kali zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza mzee huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia mnada wa nyumba za lugumi. Yuko wapi huyu mzee,je zile fedha zake na mambo yake yaliendeleaje? Yuko ndani ya nchi hii kweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu mtangazaji Bhoke wa kipindi cha Dadaz EATV(Channel 5) kiukweli anakera kwa tabia yake ya kutuonesha kitovu pamoja na sehemu ya chini ya tumbo hususani katika zile "jingles"/promo ambazo huwa...
2 Reactions
83 Replies
19K Views
Mlimbwende Jen Selter akionyesha Raba(Sneakers) anazogawa baada ya kuhama apartment.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Khalid The great kampaisha Konki Liquid. Ina maanisha nguvu ya mitandao ni kubwa ila kiukweli tumuonee huruma tu konki sababu mtu mwenye roho mbaya mwenye back up ya mtu mkubwa kamchukia...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Rapper wa Kike kutoka Tanzania yupo nchini Kenya katika ziara ya kutangaza kazi zake huko, Katika Harakati hizi nimekutana na Show moja kali aliyoifanya live katika Kipindi cha 10 over 10 Cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom