Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tobe honest, Vijana wetu hawa siku hizi wanatukera na matusi yao ila aisee kuna hizi you tube reactions channels jamaa wanapendwa kuna hadi mama anamsifia diamonds kwa lips zake, moja ya...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Mziki wa Nigeria unaendelea kukua kwa Kasi Duniani Hulu wasanii wake wakiendelea kunufaika Usiku wa Jana Drake akiwa London alimpandisha Wizkid nakumpa nafasi ya kupaform nyimbo zake kadhaa Kama...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Kumekuwa ana Mjadara Mkubwa Tanzania,Katika Maendeleo Ya kimziki Kwa Diamond Platnumz Na Wasanii wengine! Watu wanajaribu kufananisha maendeleo ya kimziki ya Diamond Platnumz na Davido,Wizkid na...
11 Reactions
123 Replies
16K Views
Wengine tumeamua kuurudia utukufu...lakini hizi chokochoko za hawa dada zetu kwenda mbinguni ni kazi sana.
2 Reactions
173 Replies
23K Views
Mnakoroma wee..halafu mnarudi kufanya yaleyale Sasa kama wanaume wa mkoani mko hivi hadi mnalia...wa dar waweje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
2K Views
JINSI YA KUJIUNGA NA *INSTASCOOP* njia mpya ya kupata habari za uwakika moja kwa moja kwenye *WhatsApp* yako kutoka *Mwananchi communications Ltd* 1-Bonyeza hii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natumia nafasi hii kumpa hongera msanii Fid Q kwa kuaminika na kupewa ubalozi wa kutangaza hedhi salama kwa watoto wa kike. Hakika unastahili sana kuwa balozi na mtoa elimu ya hedhi kwa vijana wa...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
Mwanaharakati na Mwanajamii, Rebeca Gyumi, ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative anayefanya shughuli zake kwa ushirikiano na mashirika mbalimbali ikiwemo Umoja wa Mataifa (UN)...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Brighton Moyo, raia wa zimbabwe aliekuwa akiishi Afrika Kusini alieigiza kufa na kufufuliwa na Mtumishi Alph Lukau. Safari hii amefariki kweli na kusikwa na sio maigizo. Inasemekana alikua...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
dah nilitune nikakutana na nyimbo za dansi ghafla mtangazaji anaitwa Irene kakatiza kaanza kuongea,15 minutes sasa utadhani ni mahubiri anaongelea jinsi watu wasivyoweka siri sijui ni mambo yao ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ile show ya kushindanisha vipaji duniani inayomilikiwa na Simon Cowell imezinduliwa rasmi nchini Kenya jijini Nairobi na Waziri wa Michezo wa Kenya. Got talent ipo katika nchi 58 duniani, MD wa...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Mambo vipi? Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake. Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.
3 Reactions
36 Replies
8K Views
April 3, 2019 Nairobi, Kenya Akothee ft Linex Sunday Baraka ( Official Video ) Source: Akhotee Kenya
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari ya usiku Mimi si mpenzi sana wakuongelea hizi ishu na wala sina timu ila uvumilivu umenishinda,,hao jamaa wanajiita Wasafi nimefatilia shoo zao wanazojinadi wataimba live na...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Mjasiriamali na Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania, Erick James Shigongo anatarajia kurudi shule na kusoma elimu ya shahada baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta nafasi hiyo, huku...
6 Reactions
63 Replies
16K Views
Nimesoma moja ya Column kwenye gazeti la Championi la leo yenye kichwa cha habari " Chamelleone atapeli tena Norway" Nimejiuliza maswali mengi lakini nimekosa majibu ya uhakika, binafsi me ni...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Bwana Eric James shigongo ambaye ni mmliki wa kampuni ya Global publisher, kampuni inayojishughulisha na uchapishaji wa magazeti, amefunguka rasmi kuhusu Tetesi zilizoenea kuhusu yeye kushiriki...
6 Reactions
74 Replies
20K Views
Jamani kwa wale wapenzi wa pop music na Rock wa zamani kidogo mtakua mnaikumbuka ile bendi ya vijana kutoka northern Ireland. Wametoa ngoma mpya kwa kushirikiana na ed sheeran jnaitwa Better man...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umewahi kusikia jina play boy mitaani ? Likitumika kumaanisha mwanaume muhuni ? Basi ni sahihi Muanzilishi wa jina hili anaitwa Hugh Hefner ,huyu bwana alizaliwa april 9 1926 na kufa september 27...
8 Reactions
131 Replies
22K Views
Back
Top Bottom