Victor Wanyama amemualika Pierre Liquid kwenda Uingereza na kila kinachohitajika kwa safari atalipia yeye mwenyewe Victor.
Sasa kwa jicho la roho mbaya nani atakubali (anayeonekana mlevi, asiye...
Ni wazi sasa DSM ni kama imepata Mkuu wa Mkoa mpya katika sekta ya burudani,si mwingine bali ni Pierre Liquid,mziki wake ni mzito wa takribani wats laki nane, anatikisa kila kona
Watu wazima sana...
Msanii wa nyimbo za injili Martha Mwaipaja ambaye ni miongoni mwa wasanii walio karibu sana muimbaji Rose Muhando ameeleza kilichotokea kwa Rose Muhando .
Martha ameeleza jinsi Rose...
Baada ya kushiriki kikamilifu katika kampeni ya Tokomeza Zero, Liquid amepata mwaliko mwingine Ughaibuni. Lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ni kuhamasisha Tanzania Diaspora kutoa misaada...
Siku hizi habari zipo mkononi, watu wanahitaji content za kusoma kila muda, nani wa kuwalisha habari?. Maisha ni magumu watu wanahitaji zaidi habari za kuwapunguzia stress za maisha, binadamu...
Pierre Konk Liquid, ni jina maarufu sana kwa sasa si tu kwenye mitandao ya kijamii bali hata mitaani kote katika eneo la Afrika Mashariki kwa ujumla.
Pierre, mtu ambaye kwa sasa ameanza kupata...
Aliyekuwa mmiliki wa studio za Kiumbe video &Audio ambaye pia ni muimbaji na mtayarishaji wa muziki Abamto Valentino amefariki dunia akiwa kwao ilala. Moja ya kazi alizowahi kufanya ni pamoja na...
Ni utamaduni wa muda mrefu katika kabila la wahaya kunyoa nywele zao tena wengine kipara kabisa kama watu wafuatao wakifiwa
Mjane
Watoto wa marehemu
Ndugu wa damu mtu akitaka
lakini hasahasa...
kaandika kwa kifupi tu lakini kwa hekima kuliko yule anayejiita mcha Mungu aliyejaa roho yenye kutu,kasema HILI NALO LITAPITA. Mtu wa karibu kaniambia Piere kafarijika sana na watanzania...
Wadau kifupi mie nimfuatiliaji wa matukio ya hapa nchini, na mojawapo ya tukio nililolitazama ni hili la TOKOMEZA ZIRO - lililoandaliwa na Mhe . JoKate.
Suala ni kwamba , Muheshimiwa ambaye ni...
Fahamu kwamba video queen wa wimbo wa kwanza wa Diamond platnumz alikuwa dada yake Esma Platnumz,kwa nini Esma? ni kwamba wadada ambao aliwaalika Diamond kufanya hiyo scene hawakutokea kutokana na...
Unapokuwa na cheo kama cha mkuu wa mkoa jaribu kujiheshimu hata kama una moyo mweusi na umezaliwa na chuki moyoni mwako
unapochanganya mambo ya wasafi vs ali kiba kumu attack mtu ambaye hana...
Napenda sana kusikiliza East Africa Radio (EA radio) Super Mix, Kipenga Extra na East Africa Drive (Ndinga mpya Town). Vipindi hivi vitatu huwa nikipata muda navisikiliza maana watangazaji...
Jana nlkwa nikicheki movie moja ya kanumba FAMILY TEARS basi humo nikamuona Tena Richard benzouidenhout..ambae alikwa mshindi wa big br 2006..
Huyu mwamba amepotea Sana. Wadau hv Yuko Wap huyu...
Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua...
Piere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.
Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi...
Siku ya 22 katika mwezi wa July mwaka 1992 maeneo ya Grand Prairie katika jimbo la Texas nchini Marekani binti mwenye umri wa miaka 16 aliyejulikana kwa jina la Amanda Dawn Cornet anafanikiwa...
Nani ana namba ya Hamissa Mobetto au mama Dylan kama anavyoitwa na Nasib Abdul, mpigieni mwambie tunajua maisha ya mtanzania yamekuwa magumu sana sema aache kuvamia kazi za watu.
Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.