Wakuu habarini za wakati huu hopefully mko vyema ngoja niende direct kwenye mada baada ya kipindi cha Jahazi kinachoruka kila siku za jumatatu hadi ijumaa saa10 hadi saa1 ucku pale Clouds FM...
Naomba kuuliza jamani, hivi hawa watu wanaotaka watu wa like na kushare picha zako na kuwalagai kwa zawadi ambayo ukweli hawazitoi, wana mlengo gani? Hivi wanawaona watu ni wajinga sana kwa...
Bodi ya Uainishaji wa Filamu ya Kenya (KFCB) kupitia Afisa Mkuu Mtendaji Ezekiel Mutua anasema bodi hiyo haitaruhusu watoto kuimba wimbo ambalo alisisitiza una ujumbe ambayo ni kinyume cha...
Hivi kuna mtu anajua maisha ya Misri yakoje?
Kulindanisha na Dubai
mwenye kujua naomba atufahamishe maana ndio watu wanataka kuhamia huko mwa ma firauni au nchi ya firauni (PHARAOHS)
Huyu jamaa alikuwa anajiita Buibui alitamba na wimbo wa nimekusamehe miaka ya nyuma kidogo??
Juzi tuu msanii Alice keyla alifanya cover ya huu wimbo ikabidi nimkumbuke mwenye wimbo! Ingia YouTube...
KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo...
Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!
Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho...
Mwanamuziki wa miondoko ya soukous na rhumba nchini Congo, Koffi Olomide amehukumiwa kifungo cha miaka miwili nje na Mahakama ya Ufaransa kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mnenguaji wake wakati akiwa...
Nilikuwa napitia vipande vya show ya Chris Brown aliyofanya Mombasa, yaani kwa jinsi alivyoperform sio yule Chris Brown nnayemjua mimi, ukiangalia show anazozifanyaga Marekani na Ulaya sidhani...
Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG)
katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds...
Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ' Monalisa ' hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa .Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa...
Mimi ni mpenzi wa kipindi cha jahazi ila ukweli hiki kipindi bila kibonde (RIP) kimepwaya, Captain na George Bantu nawaomba msikate tamaa hizi ni changamoto za maisha
"Good news is it??
yes My aunt thinks ni habari nzuri and what about me??
well ..think i am loving the idea of mtoto wangu wa Kwanza in 2014 i wish awe kama baby Nori awww
How cute Baby...
Mi nilidhani wangekuwa maelfu, halafu kumbe ni wanachama wa CCM..so ningedhani ingekuwa mamia ya wana CCM....au ndo kujaribu kufunika ishu?
Habari za Kitaifa
Mamia wampokea Kikwete...
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa pamoja na msanii wa Bongo fleva Harmonize wameacha gumzo kubwa wilayani Tandahimba kwenye mkutano na Wajasiliamali wadogo juu ya vitambulisho.
Gumzo...
Jacob Makala my brother kutoka Watengwa Crew (WTC), Kundi lenu asilimia flani ya member walitimkia mamtoni akiwemo Chindo Man (Mbwa) ambae anaishi na familia yake LA Marekani, Yuzzo Lubama pia, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.