Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Waymaker” By Sinach Crosses 100 Million Views On Youtube! . Nigerian Gospel music icon, Sinach has crossed the 100 Million views mark on Youtube for the song “Waymaker”; a feat only 2 other...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Dada wa taifa, celebrity wa dunia kila habari ya hii dunia lazma anaijua, mamaa muzungu page yake naipitia pitia sana kwakua nami ni mdau wa ubuyu, ila nimejikuta nashtuka kuona tangu enzi na enzi...
5 Reactions
87 Replies
10K Views
Good day Fareed Kubanda! Najua unafahamu kwamba sikuvishi kiremba cha ukoka ila nasema ukweli huu hapa kwamba, wewe ni the most influential hip hop artist to ever walk in Tanzania... Wengi wetu...
84 Reactions
114 Replies
20K Views
Miaka ya nyuma kidogo huyu Amber Lulu alikuwa changudoa mchafu mchafu anadanga hapo ambiance ,miguu haieleweki imekomaa komaa ,sura nzito kama futari ya magimbi, tumbo kubwa,maziwa yametepeta kama...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned So Kama unampenda warumi na mko...
99 Reactions
36 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu Akipiku record...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Sifahamu nianzie wapi na habari hii. Tulipokuwa wadogo jirani yetu alikuwa mama mrembo tukizoea kumwita auntie. Auntie alikuwa mzaliwa wa mikoa yenye wanawake warembo. Auntie aliumbika, alikuwa...
25 Reactions
36 Replies
4K Views
Kiitikio.... Oh katikati kuna nini Kuna watu wana party Oh kati kati kuna nini Kuna watu wana dance dance dance
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni sana na msiba wa Kibonde. Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele...
3 Reactions
100 Replies
19K Views
Salute.. Aisee naandika haya toka moyoni kabisa ndaaani kulee. Nampenda sana Lucky Dube nyimbo na mfumo wa maisha yake. Nimekua nasikiliza nyimbo,interview na shoo zake zinanivutia sana. Katika...
12 Reactions
163 Replies
20K Views
Mtangazaji maarufu Ephraim Kibonde amefiwa na mkewe usiku huu katika hospitali ya Hindu Mandal. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Amen. ====== Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi...
11 Reactions
233 Replies
73K Views
Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba...
8 Reactions
159 Replies
15K Views
Salaam Wakuu. Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio...
26 Reactions
234 Replies
28K Views
Hizo ni video fupi zinazo mwonyesha nguli huyo wa muziki akijitetea kuhusiana na tuhuma za kuwanyanyasa kingono wanawake.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwako mr Kibonde, Siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa Lady Jaydee, yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo na kifikra hata kimaongezi. Lakini yule...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
Na Kalunde Jamal Onyesho la mwanamuziki Judith Wambura Mbibo, maarufu Lady Jaydee, la kutimiza miaka 13 ndani ya tasnia ya muziki limekuwa la kipekee baada ya kuibuka Pedezyee aliyekuwa akimtunza...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Shame on u Kibonde sikutegemea unaweza kufanya vitu kama ulivyofanya leo pale ubungo asbh uuuuh ivi nn maana ya public figure ya Tz hii mnatuonyesha nn duh Polen clouds maana jamaa kachemsha...
14 Reactions
917 Replies
172K Views
Watanzania wana tabia ya kujikweza, hii tabia imesambaa zaid kwa wasanii, Leo hii kwa magari ya kuazima na project za watu kupitia migongo yao wanahadaa watu kwamba ni matajiri, wanafika hatua ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom