Wanabodi,
Nami niko hapa viwanja vya Karimjee katika kumuaga Ruge Mutahaba.
hivyo tunapomuaga kaka wa Taifa, Ruge Mutahaba, nimewasikia wengi wakisema pengo lake halitazibika, sii kweli, kwa sisi...
Hawa Jamaa Sijui siku izi wako wapi , ni waongozaji na watunzi wa movie za kibongo, nakumbuka zamani walikuwa moto wa kuotea mbali kwenye filamu za kibongo, sio siri Jamaa walikuwa wananikosha...
Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.
Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa
Kila la...
Ndugu yetu huyu amekuwa akimuandama sana Diamond Platnumz, huwezi kuta akisuport kazi zake zaidi ya kuangalia mazaifu yake na makosa yake tu, huyu huyu kitenge baada ya Diamond kuachana na mama...
Heey
The so called Boss lady huyo wa kenya ameonesha kukerwa na wanaume wanao-cheat, kupitia page yake ya insta amewataka wadada wasifanye mapenzi na wanaume.. Wanaume wakose pa kwenda waanze...
Aman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Leo nimekuletea uchambuz ili ujue ni kwanini kaka yetu aliwezana na wasanii wachanga na akishindwana kabisa na wasanii wakongwe...
.
By Sangu J
Wakati taifa hususani sisi vijana tukiwa kwenye huzuni kubwa kupotelewa kwa ndugu yetu #Ruge Mutahaba mimi napendelea kumuita ( KING OF YOUTH) kwa uhodari wa kuhakikisha anajitoa...
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
Anaingiaje kwenye public toilets?
Mimi nadhani its high time ashauriwe kuvaa...
Mwana wa kike wa pekee wa nyota wa muziki wa Pop marehemu Michael Jackson , Paris amesema kuwa anaamini kwamba babake aliuawa.
Katika mahojiano yake ya kwanza, Paris aliambia Rolling Stones ana...
Unaweza kuangalia video yote lakini kama shauku yako ni kufahamu Queen Darleen kaongea nini kuhusu baba yao, basi unaweza kwenda moja kwa moja Dakika 17:10 !! Mistari ninayoikumbuka, kama ni kweli...
SHIGONGO: Mimi, Babu Tale na Ruge
NI kweli Shilawadu wameniomba msamaha na mimi ninawashukuru sana, huo ndiyo uungwana, unapomkosea mtu, omba samahani, YAMEKWISHA! Lakini siyo vibaya nikisimulia...
Moja kati ya vitu vigumu barani Africa nikua mkweli, kusema ukweli ule unao udhania au kuufikiria kwa watu wengine ndio hua tatizo kubwa.
Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi...
Habari ndugu wadau wa Jf,
Nikiwa napitia mitandao mbalimbali Jana
Nikaona tangazo la wasafi festival litakalo fanyika huko nchini Oman,mwezi wa nne.
Kwakweli nikafurahi kuona vijana hawa wa...
Unakuta Mtu akifa tu basi atapewa Sifa za kila aina na Wanadamu huku wengine wakilia kila aina ya Machozi, wakimshukuru Marehemu na hata kumfananisha na Malaika, wakimtungia Nyimbo mbalimbali...
Huyu mtoto wa kishua na yeye ni mchapakazi,ni mbunifu yupo karibu sana na vijana toka enzi zile akiwan na Masai inc.
Iliwasimamia wanamuziki kama Gangwe Mobb,Noorah.
Jamaa anajua vingi na...
Ndugu wa marehemu Rugemarila Mutahaba embu mumsitiri huyu mjomba Mpoto maana inastaajabisha sana.
Mpeni viatu akimaliza kuzika angalau arudi na viatu huku dar.
Yani mpaka kuposti picha yake...
Naamini huyu jamaa ana mashabiki wa kutosha katika rika zote, sijajua mafanikio yake kiuchumi ila katika muziki namuona ni moja ya wasanii waliofanikiwa sana katika tungo zao pamoja na muziki wao...
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini...
Ebanae leo nilikutana na jamaa kaniambia pole kwa msiba, nikamuuliza msiba gani? Kaniambia eti wa Ruge,sasa nikajiuliza Ruge ananihusu nini mimi?
Najua kasaidia wengi, wasanii, wafanyakazi wa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ruge ni binadamu anayependa sana ligi wakati huohuo hawezi ligi na hajawahi kushinda ligi hata moja toka aanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.