Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Movement ya Anti-Virus ilianzishwa kimya kimya na Mapacha Wa Maujanja Saplayaz baada ya kulalamikia unyonyaji uliopitiliza katika kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam. Wakiwa wawili tu...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Yule mwanamziki nguli wa Hip Hop wa miaka ile mwenye jina hapo juu ameondokewa na baba yake profesa rubanza siku ya juzi na amezikwa jana. Mungu ametoa na kwake amerudi jina lake lihimidiwe
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Kevin Hart reaches out to Nigerian boy who did a drawing of him Kevin Hart has reached out to a talented Nigerian boy who did a beautiful drawing of him. The boy shared the drawing on Twitter...
10 Reactions
26 Replies
6K Views
Jamaa mwenye ngumi kama jiwe, Francis Cheka amepata ofa ya kusoma form one katika shule moja hapo Moro. Wiki ijayo ataanza pre form one. Ofa hyo inakuja wiki moja baada ya kupewa viwanja viwili...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Anakwambia alijisikia bored akaona aende zake Singapore alafu anasema mkae mkao wa kula kesho anaweza kuwa nchi nyingine yeyote....!! (isije ikawa TZ) Wewe ukiwa bored unafanya nini...?!
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Nimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya. Anasumbuliwa na nin?
6 Reactions
130 Replies
47K Views
Aliekuwa mpiga picha mkuu wa Diamond kwa zaidi ya miaka 5 na baadae kutangaza kuacha kazi kwa staa huyo mkubwa wa Bongo Fleva (wengi wanadai alifukuzwa kwa kumshauri boss wake kuhusu zari)Hatimae...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
LONDON, England: MR EMBO Sarah Kohan ambaye ni mpenzi wa straika wa West Ham, Javier Hernandez ‘Chicharito’, amepiga picha akiwa uchi huku akiinadi mimba yake mpya. Sarah ameshaeleza mara...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Megan young kutoka ufilipino ndio mshindi mpya wa miss world 2013.watanzania ata 20 bora atupo .Bado Kazi ipo sana kwa Tanzania kuchagua miss bora atakaotuwakilisha vyema kwenye mashindano aya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
VIDEO: P- FUNK AWACHANA TENA CLOUDS FM.... AELEZA JINSI MAREHEMU NGWEA ALIVYOGUZWA NG'OMBE WA MAZIWA - MPEKUZI
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Niaje wadau? Sijui nimuweke kundi gani huyu mdau Mr Ruge Mutahaba maana anajua kuisaka hela si mchezo na mwenzake Kusaga. Kwa show moja tu ya fiesta Dar anatengeneza millioni zaidi ya mia 4...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Kipindi ndio nimeanza sekondari, boarding mbali huko, tulikuwa tunaanika betri kwenye jua ili jioni tusikose kumsikiliza mshkaji na wakali wengine kwenye African beatz, Kiss Fm. Huyu Jamaa alikuwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamaa anahitaji mshauri wa mavazi la sivyo ukikutana nae usiku unaweza kukimbia Unaweza ukazani wichicrafti[emoji23][emoji23][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
13 Reactions
64 Replies
12K Views
Leo hii katika mtandao wa bbm, lady jay dee ameandika status 'Mungu sio Ruge wala Kusaga. No surrender. Confidence' inaonekana bifu lao linazidi kuchukua nafasi. Na binti machozi anaonekana...
1 Reactions
45 Replies
13K Views
Kuna kauli ameiongea Ruby kiukweli kama ndio Wasanii wanavyofanyiwa hivi? basi balaa! Kauli yenyewe n kuhusu Ruge alimkuta sijui eneo gani Ruby nanukuu "Wee Ruby unafanya nini huku wakati wenzio...
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Salamu mbele! Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya chini chini na ya wazi kwa muda mrefu ya jinsi clouds media ambavyo wamekuwa wakiwanyonya na kuwaburuza wasanii wa muziki nchini Tanzania. Wengi...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Ruge Mutahaba ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Clouds Media Group. Leo ameongea kwenye kipindi cha Radio Clouds cha XXL. Tujuzane kinachoendelea hapo mjengoni. Sijui anataka kukamatia fursa ya nani...
3 Reactions
92 Replies
21K Views
Akiwa mwenye afya njema kabisa....picha hii ni ya jumamosi iliyopita.
13 Reactions
113 Replies
28K Views
Back
Top Bottom