Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda ameongoza maombi rasmi ya kumuombea mkurugenzi wa CMG katika viwanja vya Posta jijini Dsm.
Maombi hayo yalifanyika kabla ya kuanza kwa tamasha la fiesta.
Source...
Kama Title ya Topics inavyo-sema hii nimeona Mara kadhaa
Bifu limeanzia kwa bobu junior kapotea Adamu Juma kapotea Maneke kapotea Shetta kapotea Ali kiba kapotea yani jamaa anatoboa kwa mabifu...
WCB kwa sasa ni kama maji utake usitake utayanywa tu hata ukiwachukia utawaangalia kimya kimya tu. Ukweli ni kwamba Diamond platnumz na WCB nzima wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuiteka kona ya...
Tetesi kuwa bifu huenda likafika mbali kwani clouds safari hii wamewapa ugeni rasmi wakuu wote wa mikoa inakofanyika kasoro mkuu wa Dar.. Tetesi ni kuwa fiesta Dar mgeni rasmi atakuwa mchungaji...
Waungwana mara nyingi wasanii wanapolalamika dhidi clouds media wengi wao huwa wanamlalamikia Ruge Mutahaba na kumchora kama mtu mbaya na anayewanyonya wasanii. Wengine wameenda mbali zaidi na...
Gari alilokuwa akitumia marehemu Maalimu Mhidini Gurumo huku pia gazeti hili likibaini kuwa kadi ya gari hilo ipo kwa Ruge Mutahaba.
Diamond Platinum akimkabidhi ufunguo ya gari aina ya Toyota...
Leo zimetoka taarifa za kifo cha mkurugenzi wa clouds-media ndugu ruge mutahaba ila kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni unafiki kwa marehemu. Kumekuwa na taarifa nyingi kipindi cha uhai...
Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpenzi wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji...
Tukiangazia upande wa Burundi, msanii wa music wa buja flavour nchini burundi_bien frema amefunguka katika mike za Wandani tv baada ya kuachia kibao chake ivi karibuni kilicho mtambulisha vyema...
Nadhani BASATA they dont mean what they say, and say what they dont mean!
Tatizo ni wimbo usiimbwe na watungaji au usisike katika jamii? Maana kweye mabaa, music studios, maharusini, vyombo vya...
Sikumbili zimepita toka ushindani mkubwa wa kugombania vijiko (tuzo)vyenye heshima kubwa kutoka AZAM TV, msanii Gabo Zigamba kajitokeza na kutoa shukurani kwa Watanzania, walio muombea usiku kucha...
Huyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.
BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili...
R Kelly arrives at the 1st District-Central police station on February 22, 2019 in Chicago, Illinois
Nyota wa R&B R Kelly ameachiwa huru kutoka gerezani Chicago Marekani baada ya kulipa dhamana ya...
Wakuuu hamjambo ..hope mmeamka salaam.. niende moja kwa moja kwenye mada ...Mmakonde Harmonize mziki wake ni mzuri sana yeye huwa anaimba kinacho eleweka na huwa atumiy sana matusi kama babaake...
Sina maneno mengi ya kusema ila kwa ulicho nacho na ulichokianesha Jana SZIFF trust me bado namtafuta anaekukaribia
Japo kuna watu hapa watapinga. Ila ukweli ni kuwa umenyoosha yale mapungufu...
Najua wengi mwaijua bendi hii kitambo kile ilisheheni watu wa kazi kama Jb mpiana werason ngiama makanda aime buangwa toto karonji buleise bula alein makaba alien mpela Mali pool didie masera...
Mwanamuziki wa R&B .R.kelly Amekamatwa hapo juzi Usiku .baada ya mahakama ya Chicago Kutoa Amri Ya kukamatwa kwake kufuatia ushahidi Mpya .kuhusiana na madai Aliwadhulumu kimapenzi watoto wa tats(...
Wakuu tumalizeni utata, kati ya hawa wawili Mzee wa bwax na Dulla Makabila nani anajua zaidi kuliko mwenzake????
Mzee wa bwax anatamba na bakola zake kama Kupenda penda kubaya, Unaringa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.