Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Marekebisho kichwa cha habari Dar kila mtanashati ni shoga ,ukipata hela unauza unga Sikatai zama hizi haya mambo sijui kama yameongezeka ila nadhani teknologia imekuwa sana kiasi cha kuwa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Tatizo kubwa King anapenda sana kupiga mapichapicha ya local mara matreni mara uswahilini nk. Ni sawa King tunakupenda zaidi ya pacha wako but huu ulocal unatutia simanzi Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake Je...
1 Reactions
111 Replies
12K Views
Msanii wa gospel nchini kathbert mwindi kaliambia jarida la Wandani tv kuwa toka aokoke ameanza kuona mabadiliko ya kiroho na maisha pia,, nimeamua kumtumikia yesu kutoka moyoni, sasa nakesho...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
MAISHA kweli hayana usawa! Mtoto wa mwanamitindo Kim Kardashian, North West ametengeneza ‘headlines’ kibao mitandaoni baada ya kupata rafiki wa kiume. North West (5), amepata rafiki huyo wa kiume...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Paka aliyekuwa akimilikiwa na mkongwe wa mitindo Duniani marehemu Karl Lagerfeld ndie atakayerithi utajiri wote wa mkongwe huyo. Marehemu Karl Lagerfeld akiwa na Paka wake. Paka huyo...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Duh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Hakuna mtu yoyote ambaye hajaguswa na kifo cha Mzee Nelson Mandela kutokana na historia ya pekee aliyoiacha kiongozi huyu wa Afrika Kusini. Kuanzia mataifa ya Asia,Ulaya,Marekani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu mzee kwa kipindi kirefu amekuwa akiteseka sana kutokana na makosa yake yeye mwenyewe ambayo aliwahi kuyafanya huko nyuma, mzee amekuwa akihitaji msaada wa Diamond kila kukicha bila mafanikio...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Kama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV, Wanavyofanya mahojiano na Watu maarufu kama, Majizo Zamaradi Mketema, Wanaofuatwa ningependa waende akina Diamond Platnumz(Au D.P akazungumze uko Wasafi...
3 Reactions
28 Replies
7K Views
Mkongwe wa muziki wa RnB nchini Marekani, R.kelly amejisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi mjini Chicago baada ya kushtakiwa kwa tuhuma kadhaa dhidi yake. Staa huyo ambaye jina lake kamili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rochelle Washington mkono wa kulia na Latresa Scaff mkono wa kushoto wakiwakilishwa na wakili wao Gloria Allred. Wanawake wengine wawili wamejitokeza na madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mdada unatembea uchi kabisa bila hata aibu daah Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
80 Replies
48K Views
Founder na CEO wa E-FM na TV E,Dj Majay aka Majizzo February 20 atakua katika kipindi cha asubuhi kinachoitwa Clouds360 kikiongozwa na Babie Kabae,Sam Sasali pamoja na Hassan Ngoma ndani ya Clouds...
1 Reactions
290 Replies
27K Views
Nasikia Kaka yetu Yule mwenye haiba ya kukejeli mastaa pindi tu scandal yeyote inapowakumba na kugeuza utani kwenye page yake , ameanza kuota mapembe kisa anatoka kimapenzi na mwanaume mwenzie...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Yule First Lady mpya wa kaka yetu, nae ndoa ishaanza kuota ukungu kisa kikiwa ni mpiga chapi first class hapa nchini mwenye mashauzi kama yote kisa tu siku hiz anatembea na four wheels Unaambiwa...
7 Reactions
70 Replies
8K Views
Baada ya ile shoo ya jana kufana sana pale mbunge Sugu alipo uhakikishia umma wa wapenda muziki wa kizazikipya kuwa watu wanapenda vya nyumbani na niwazalendo waukweli. nimechukizwa sana na...
8 Reactions
43 Replies
7K Views
Nimesikilza hii video ya msanii Q-chief imenisikitisha sana jinsi wasanii wazuri kama hawa wanavyopotezwa na watu fulani fulani kisa ya masilahi binafsi. Binafsi nafkiri Q-chief ni moja ya...
2 Reactions
66 Replies
17K Views
Lady Jaydee amesema Ruge amezungumza sahihi kutokana na nafasi aliyonayo na pia kudai kuwa kuna watu alifanya nao kolabo ila wamefuta chorus kwenye nyimbo zao baada ya mgogoro kutokea. Pia amedai...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Back
Top Bottom