Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya...
Akiongea na tv fulani ya youtube Chidi alisema maneno haya machache, " muziki wa sasa umekuwa ni kitu cha hatari, ni either unakuwa Wasafi au unakuwa Wachafu. La sivyo utamalizwa".
Ni maneno...
Msanii nyota wa bongo fleva diamond platnumz ameajikuta akitukanana na mrembo lyyn Ni video vixen
Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwatenganisha na mpenzi wake tanasha, daimond amepost...
Jiwe walilolikataa waashi sasa linakua jiwe kuu la taifa,hongera vijana kwa kuipamba furaha ya nchi na kusindikiza ushindi wa safari ya AFCON.....picha inajieleza zaidi.
Habari za jioni wanajamii forum,ivi tofauti kati ya Celebrity na Superstar ni ipi? na kipi ni kigezo cha kumpa mtu ucelebrity au Usuperstar!..
Na ni kweli bongo kuna hao watu (Celebrity na...
Wanabodi,
Kama mlivyoshuhudia commitment ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuinua vipaji, kuwasaidia wanamichezo na wasanii hapa nchini, nawashauri Wasanii wetu wajitahidi kuiwakilisha Tanzania vizuri...
Jussie Smollett: Charges dropped against 'Empire' star
Muke ya Muzungu AKA Natalie pita huku. I told you that MO is too smart to involve herself in any reckless decision.
Kiukweli jamani naomba ufunguke....
Please thing twice nani TANZANIA anafaa kuitwa MC naona kila kona watu wanajiita ma MC sijui wanafata vigezo gani..?
Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchomvu ni mmoja kati ya wabunifu wa mavazi wachanga watakaopelekwa na THT nchini China kujifunza zaidi fani hiyo.
Akiongea kweye 255 ya XXL...
Akili ya mtu ama mind hutambulishwa zaidi na matendo ama maamuzi ya mtu katika masuala mbalimbali. Na katika tabia na mienendo ya matamanio mtu akizama zaidi huwa mlevi na huenda akawa ameathiriwa...
Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5
Pilipili pia ameongeza...
huyu jamaa ni mkali sana kwa freestyles na ngoma zake pia ni kali sana lakini siku hizi amepoa sana kuna nini au zama zake zimepita au watu wa media wanambania?? popote ulipo zilla we need u bro...
Huyu jamaa wasanii wenzake walimtenga kipindi kile alichofiwa na baba yake mzazi kwa sababu na yeye huwa hajishughulishi na wasanii wenzake kwenye misiba.
Sasa wasanii wenzake walimtenga ili...
Kuelekea katika pambano lake litakalofanyika siku ya tarehe 23 March,bondia Hassan Mwakinyo amepata bahati ya kunolewa na bingwa wa dunia katika uzito wa juu ,Anthony Bellew au Tony Bellew .
Hii...
Ushauri wangu kwa Diamond kua wakati ni ukuta na hakuna anaeweza kupambana nao.
Hakuna asiejua kua kwa miaka 8 iliyopita Diamond ametawala kwenye soko la muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania na...
Niaje masela na sisterdu kama kawa kama gwala niko hapa kukuletea kajina ka haka kabinti kamoja kutoka bongo freva kabinti ambako huwa nakapenda sana
Yaan hako kabinti kana sauti tamu ni balaa...
Hebu msikilizeni huyu Ezden! Yaani anatia huruma kweli.
Anakiri mwenyewe kuwa Dida alikuwa anamzidi kipato....halafu eti baada ya kufunga ndoa akaenda kuishi nyumbani kwa Dida.
What a dummy...
Nimepita kwenye 'page' yao nikakutana na hiki, ikumbukwe kwamba jana ndo wamemtambulisha mtangazaji aliyekamilisha utatu mtukutu ndugu yetu Paul James na kuonekana kuwa na yeye ni miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.