1.ROWAN SEBASTIAN ATKINSON(MR BEAN)
Alizaliwa 6th Jan 1955 Uingereza.Ni mchekeshaji, mtayarishaji wa filamu,na muandaaji wa vipindi vya filamu.Mtindo wake ni kuchekesha akijifanya kama taahira...
Hawa madogo wote wanachana na wote ni wakali. Ila kwa mtazamo wako binafsi, unahisi nani anaweza kumshinda mwenzake? Kuanzia uandishi, flow, mpaka swagga. Au unaweza kuwaorodhesha vipi kuanzia wa...
Hiki ni kionjo cha wimbo alichopost rayvanny katika account yake ya IG ikionesha wakiwa studio na mzee wa Konki fire, likwid au pierre...
Je utakuwa hit song au kaboronga?
Toa maoni yako.....
Inaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo.
Kwa sasa Zarina na genge...
Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona...
Kasikika mlevi moja ao kicha wa team kiba kasema eti diamond kashuka sana kimziki eti kuliko kwenda kutumbwiza dar ao kigoma yeye anaenda huko south Korea ...
Inaujulikana kwamba wasanii na type hizo kwa nchii lazima ujiweke karibuna DAB,usifie wanachosifia DAB,mfalme na wapiga vigelegele wake
Mfano ni suala la CAG anayepata misukosuko kwa kuonyesha...
Kichwa kinajieleza asubui nimeamka nimekuta tu clip mtandaoni twa huyu kijana mwenzangu akiuelezea umma kuhusu mambo au twabia za mzazi mwenzie
Kwanza kama Mwanaume vitu hivyo hua ni vya siri...
Niko hapa Geita Desire Park .Hii ni klabu ya kisasa hapa Geita. Nimemuona Msukuma akiwa na Wema Sepetu katika hali ya mahaba mazito. Kwa kiwango cha umaarufu wa Wema hakutakiwa kujihusisha na...
Ni lini utakubali kwamba ulichelewa kujipendekeza ,na ukweli kuwa wamekuwahi ,kwanini unatumia njia walioitumia wale wale kwa njia inayofahamika ,ukitegemea the same.kaka kufanikiwa huja na...
Waziri Mkuu Pinda apiga marufuku safari za madiwaniNa Mwandishi Maalum
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameagiza kufutwa kwa safari zinazotungwa na madiwani kwa kivuli cha kwenda kupata mafunzo katika...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kupitia nyimbo za wasanii hao zilizotoka hivi karibuni zimeonyesha utofauti wa uwezo na kukubalika uliopo kati ya wasanii hawa wawili
Ali kiba ametoa wimbo...
Habarini za mapumziko ya pilika pilika za j4,
Napenda kumpa pongezi za dhati Sister_Fey kwa jinsi anavyomtrit kijana mwenzangu. Kwani anajua majukumu yake vyema, anamuheshimu, anamjali na...
They are two of the most famous and successful superstars in the world.
The pair decided to close down a whole Jungle Island bird sanctuary within Miami Zoo to ensure Blue had her every wish...
Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba...
Mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’.
Mwandishi wetu
MJINI bwana! Habari nyingi huanzia kwenye mikeka, siku hizi wenyewe wamezimebatiza jina la ‘Ubuyu’ ambapo kwa sasa ishu kubwa inayozagaa mitaani ni...
Huyu mdada alijipatia umaarufu kwa kuonyesha makalio yake mfuto kwenye clips mbalimbali kwa kichaka cha kuuza biriani maeneo ya Tabata.
Sasa wahuni wamevujisha clips zake akijichua amebaki akilia...