Huyu mrembo ana trako kubwa sana, nafikiri ni mambo ya Uturuki. Nimepita kwa page yake kule IG ni🔥
Tangu ameachana na Ricardo Momo siku hizi ni mwendo wa bata tu, watoto wa mjini wanasema ni...
Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual...
Mwigizaji kutokea nchini Marekani, Leonardo DiCaprio ameamua kujitenga na kujiweka mbali na na Sean 'Diddy' Combs kufuatia kuibuka kwa picha inayoonyesha yeye akiwa kwenye moja ya sherehe maarufu...
Hii achatuseme kwamba kazini kwa Diddy kuna kazi. Kesi zinazidi kumiminika zinazomuhusu yeye hadi sasa ni maumivu kwake na je atazishinda zote kesi hizi?
==================
Mkali wa Hip-Hop wa...
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono...
Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18,
Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana
Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga.
Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu...
Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy...
Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
Habari wana JF,
Leo nilikuwa naangalia EATV kipindi cha Ujenzi.. Daah Mangwea ameharibika kwa kutumia unga wadau kama kuna mtu ameangalia atakubaliana na mimi yani sauti haitoki kama teja...
1. Jay-Z
As both a friend and fellow music mogul, Jay-Z has been a regular guest at many of Diddy's events, including the famous "White Party."
2. Beyoncé
As Jay-Z’s wife and a superstar in her...
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.
Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na...
MJUE MTU ANAEINGIZA PESA NYINGI DUNIANI LAKINI HAJAWAHI KUTAJWA KAMA TAJIRI.
Jarida la Forbes limekuwa likiwataja watu kama Jeff Berzon, Billgates, Mark na wengineni,
Lakini kuna mtu anajulikana...
Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona...
Habari mi nicomedian bdo najitafuta naomba support yenu instagram natumia trump mwambelo Facebook trump mbs tik Tok Trump mbs WhatsApp no 0658903409 kama kunamdhamini anidhamini maoni pia na pokea...
Sean "Diddy" Combs ameripotiwa kuondolewa kwenye uangalizi wa kujitoa uhai huku akiendelea na maandalizi ya kesi yake ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya biashara ya ngono. Kwa mujibu wa...
Timu ya wanasheria wa Gwiji wa miondoko ya Hip-hop Ulimwenguni ‘Sean Combs’ a.k.a ‘Diddy’ imewasilisha rufaa ya tatu ya kuachiliwa kabla ya kusikilizwa kwa kesi zinazomkabili katika Mahakama ya...
Mama mzazi wa #Diddy, Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu.
Mama Diddy...
Mwanamke moja kaolewa na kuachika mara 4 .. na sasa naambiwa tena yupo mbioni kufunga ndoa nyingine ya 5 na hapo ndoa ya 4 imedumu kwa miezi mi5 tu na haijachukua hata mwezi moja tangu ya nne...