Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwema? Yellow Card ni movie moja matata sana iliyotoka mwaka 2000, nyota mkuu katika movie hii ni kijana mtanashati "Leroy Gopal "wa Zimbabwe, Director wa movie hii ni John Riber, Story ya movie...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Bandiko hili lisichukuliwe vibaya na team ya WCB ambao mara zote wanapenda kutoambiwa ukweli bali liwe kama changamoto ya kuwafanya wamshauri msanii wao arudi kwenye right track ili aokoe career...
5 Reactions
51 Replies
10K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz, inadaiwa kuwa amependekeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitambua siku atakayo funga ndoa na mpenzi wake Tanasha raia wa Kenya na...
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Wasalaam Wasanii wasomi kuliko wote,wanajua kila jambo, wataalam, na wanamuziki mahiri Wakazi na Nikki 11 leo wameingia kwenye mjadala kuhusu umuhimu wa instagram kwa sanaa na wasanii na kila mtu...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Sasa hii style sijui ndio tuiite nini? Tunapokwenda sasa naona ni bora hata yakutembea uchi maana itaonekana hukutaka kuvaa nguo! Lakini kwa style hii ni zaidi ya KATA kUN*****U!
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Thanks for listening... Unarudi ulikotoka Izxo. Ulipotea hapa kati tulikuwa hatukuelewi unaimba mapenzi au kiduku... But for this.."pepa"... Men stay right there.. U r the one we know. Natamani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kim and Kanye are currently holidaying in Brazil. The lovebirds visited the famous Cristo Redentor - Christ the Redemer - statue atop of Corcovado Mountain today.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeona juzi "Bashite" kawaita tena baada ya kuona uchaguzi unakaribia na kutengeneza "sinema" ambalo wengi wenu hamkulielewa maskini na mkaamua kujiingiza kichwa kichwa katika mtego ule... Kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
DUNIA ina mambo! Wakati wanawake wengi wakiitamani ndoa ili kujijengea heshima, mambo yamekuwa tofauti kwa mshiriki wa Miss Tanzania 2008, Jackline Chuwa ambaye amekwaa skendo ya kudaiwa...
6 Reactions
92 Replies
18K Views
Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Maisha mazuri waliyonayo mastaa hawa leo hii, hayakupatikana ndani ya siku,mwezi ama mwaka mmoja. Ni safari ndefu iliyokuwa na kila aina ya...
1 Reactions
36 Replies
22K Views
Last night on Oprah's Next Chapter with Cissy Houston, Whitney Houston's older brother Michael admitted it was he, not Bobby Brown who introduced Whitney to drugs... Michael tells Oprah, "We did...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi? Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA...
16 Reactions
60 Replies
6K Views
Hia is the leading luxury lifestyle magazine for Arab woman and Kim is stunning on the cover in a Stephane Rolland dress
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya Mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema...
9 Reactions
148 Replies
29K Views
Mr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile. Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa. Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Mel Gibson's 94-year-old father Hutton Gibson has divorced his 78-year-old wife, Teddy Joye Hicks. The divorce was finalized on Wednesday January 2nd. Hutton married Teddy in 2001. The two...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je unaweza kufikiria ni utofauti gani wa kibiolojia ulifichika na unatofautisha kati ya mwanamme na mwanamke ??! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Home boy Omary Said aka DJ D-Ommy, Mr.Washawasha, The International DJ, Jitu nene kutoka Mjengoni Clouds FM the people's Station. Huyu chalii ana tuzo Mbili mkononi za kimataifa alizonyakua hadi...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zimbabwe, Mwanamuziki nguli, Oliver Mtukudzi amefariki dunia Amefariki jioni ya leo katoka Kliniki ya Avenues Jijini Harare alikokuwa akitibiwa ====== The...
6 Reactions
148 Replies
25K Views
Back
Top Bottom