Wana JF muda mfupi uliopita nilikuwa naangalia EATV kuna kipindi kipya kaanzisha Salama Jabir (yule jaji wa bongo star reasch), nikaona anamuhoji dada mmoja mrembo na star wa bongo movie kama...
Heshima zenu wadau wa Jf, niseme ukweli mm ni mmoja wa watu ambao tulikuwa tunabeza sana kitabu cha My American Experience kilichoandaliwa na kuandikwa na William Malecela.
Nilipata uthubutu wa...
Tukiachilia mbali suala la ujumbe waliokuwa wanautoa na tutege sikio kusikiliza muziki wao na hasa flow, naona BIG alikuwa mkali zaid ya PAC....Kiukweli wangekuwepo had kizazi hiki cha rap, kwa...
Leo tarehe 7/10 ikiwa ni siku yake ya Kuzaliwa, JK akihojiwa na Television ya East Africa, EATV, alisema anapenda saaana Muziki, hasa ile ya zamani. Mziki unaomvutia zaidi ni huu wa Phil Collins...
On September 7 1996, Tupac Shakur was shot in Las Vegas (he was 26 yrs old), Nevada just moments after witnessing his friend Mike Tyson win the WBA heavyweight title. Six days later on September...
Wana JF Nimekuta watu wakiongea na kubishana kwamba Marehemu baba wa Taifa alikuwa busy sana kiasi kwamba hakupata muda wa kuweza kujifunza kuendesha gari,kwamba hadi mauti yanamkuta alikuwa hajui...
Sipo hapa kujadili siasa...ukweli usiobishika ni kuwa JK hawezekaniki kwa pamba
kuanzai za kawaida suits mpaka kanzu (anakwenda kama Sheikh Mohammed wa Dubai
Post your pictures
Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Happy... shughuli iliyofanyika jijini Dar es Salaam ikiambatana na mbunge huyo kutoa mahari pamoja na Furaha ya...
Nakerwa na tabia ya watu fulani kuongea kwa sauti kubwa kwa simu ya mkononi kiasi cha kudraw attention ya wengine, wakashindwa kuconcentrate namambo yao kipindi hicho wakimsikliza yeye. Nadhani...
Wana Jf
najua kuna wimbo unaupenda kuusikiliza kila siku iwe ofisini, kwenye gari lako au nyumban kwako!
Mimi binafsi "africa unite" wa bob marley.
Unapenda up?
Nawashangaa sana watoto wa bongofleva mnaoendekeza njaa!! Wengi wenu mnatakiwa mmwite kaka huyu jamaa, na wengine ni baba yenu kabsaa (kwenye mziki)! Ss mnapofunua vidomo vyenu vyenye lipustiki na...
Huyu bwana anajulikana kwajina la Claudio Paulo Pinto anauwezo wa kucheza na macho yake atakavyo anauwezo wa kuyatoa macho yake kwa 7 millimeters (0.3 inches) na alianza kufanya hivi tokea akiwa...
Msanii Langa ameelezea jinsialiyokuwa mteja kwa kipindi cha zaidi ya miaka 6 , ambapo uteja ulimradhimu kukimbia nyumbani,kuwa mwizi (kibaka) mtaani na pamoja na kuishi ghetto.
Langa aliongea hayo...
Kila nikifikiria hii kauli ya huyu mbibi naona si tu alikuwa anawaingiza wanawake wengine kuwekewa nyumba ndogo zisizo na ulazima na waume zao bali alikuwa anawadanganya pia ....Wanawake wanyimeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.