Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari wanajamii. Naombeni kuuliza hivi, kati ya Beyonce na Rihana nani mwenye mvuto wa kimahaba? Nilikuta watu wanabishana nani mkare na mimi nimeona niwashirikishe.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Baada ya Mh. Zitto Kabwe mapema mwa wiki kusoma bajeti mbadala bungeni kwa kutumia iPad...nae Fid Q, Ngosha The Swagga Don kuendeleza mwendelezo wa swagga, alipokua katika tukio la fulani katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ujue kuna mambo ya ajabu sijawahi kuona ni upuuzi na unyanyasaji kwa mwanamke... Mc pilipili mwanamke hujamuoa,kumtembeza kwenye media anamaanisha nn? Hivi what if wakimwagana unadhani huyu...
12 Reactions
60 Replies
13K Views
Huko instagram dada yetu amecharuka [emoji116] Ikumbukwe kuwa dada yetu baada ya kupona kutokana na madhara ya madawa ya kulevya aliokoka, kwa sasa anaishi England Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa. Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia.
10 Reactions
105 Replies
17K Views
Ama kweli siasa ni mchezo mchafu, nikikumbuka siku alipotutangazia kwamba anaachia sofa seti zake na kuingia uraiani na jinsi mkewe alivyo bubujikwa machozi leo hii NAFURAHI SANA ingawa ujasiri...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, AliKiba (Mzee Saleh Kiba) amefariki Dunia alfajiri ya leo Januari 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa...
5 Reactions
70 Replies
12K Views
It is hard to believe that she is 41 years old and a mother of two.But Jennifer Lopez looks, and dresses, much younger than her age. The American Idol judge flashed some serious skin yesterday in...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mambo vipi. Nimepata mshituko mkubwa baada ya kusikia mzee wetu (babake kiba) ameiaga dunia. Nikiwa Kama binadam siwezi kujiskia vizuri ila hii imekuwa zaidi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msanii nguli wa Bongo Fleva Ali Kiba Amefiwa na baba yake mzazi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani ni udadisi tu wa hapa na napale, nikagundua kwamba ukiona mtu yeyote; Mkeo, mchumba wako, rafiki yako, baba yako, mama yako, mwanao,mjomba yako rafiki yako n.k anamzimikia sana bob, sana...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Nilikua nafikiria itakuwaje hawa ma celeb wakitoa makeup au watumie makeup ya kawaida (kama sisi), watakuaje. Nimewapata ma celeb kadhaa bila makeup, wanatisha. Kumbe wanawake wa bongo ni wazuri...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Nasikitika kuona kaka zetu wakilalamika dada zao kuolewa na wazungu, wakati wao ndio wanasababisha. Kwa ufahamu wangu kuanzia miaka10-11 iliyopita kiwango cha wadada wa kitanzania kuolewa na...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
Dunia leo inaadhimisha miaka 30 ya kicho cha mwanamapinduzi Robert Nesta Marley. Music wake ulichangia kuleta hisia za kimapinduzi. Mchano wake uliheshimika sana hadi kupewa nishani ya amani na...
1 Reactions
25 Replies
13K Views
NEW YORK — Whitney Houston is back in rehab. A representative for the superstar singer confirmed Monday that Houston is undergoing treatment. Kristen Foster says Houston is in an out-patient...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona kama suzie wa Enews kachora tatoo kwapani au ni nini hicho? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Naomba kujua huyu ni nani? na je ni mtanzania? Kiufupi nataka habari zake huyu dada mana ndio kwanza nimembmui kwnye Instra. Anaonekanwa kama mashuhuri flani hivi ila sie wengine ni watu...
3 Reactions
392 Replies
72K Views
Wakuu Nawasalimu wote ,nasimama na CAG! Mwishoni mwa mwaka mimi na Jamaa zangu tuliona tukafanye kazi na Bata Nairobi Kenya kwa maana huu uelekeo wa vyuma haueleweki basi tukakubaliane...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaona wadada wanaanza wakiwa wakuvutia miili mizuri lakini wakianza kupata umaarufu wanaanza kufura na wala hawajali miili yao. Au nikule kuimba huku wamekaa? Kwanini hawafanyi mazoezi?
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Back
Top Bottom