Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wana JF muda mfupi uliopita nilikuwa naangalia EATV kuna kipindi kipya kaanzisha Salama Jabir (yule jaji wa bongo star reasch), nikaona anamuhoji dada mmoja mrembo na star wa bongo movie kama...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
WAKUU NANII ANAFUNIKAA NA MTOTO AMBER ROSE NI WHIZ AU KANYE WEST...kanye and amber enzi hizo,whiz na amber.yupii wananata na beat.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima zenu wadau wa Jf, niseme ukweli mm ni mmoja wa watu ambao tulikuwa tunabeza sana kitabu cha My American Experience kilichoandaliwa na kuandikwa na William Malecela. Nilipata uthubutu wa...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Tukiachilia mbali suala la ujumbe waliokuwa wanautoa na tutege sikio kusikiliza muziki wao na hasa flow, naona BIG alikuwa mkali zaid ya PAC....Kiukweli wangekuwepo had kizazi hiki cha rap, kwa...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Leo tarehe 7/10 ikiwa ni siku yake ya Kuzaliwa, JK akihojiwa na Television ya East Africa, EATV, alisema anapenda saaana Muziki, hasa ile ya zamani. Mziki unaomvutia zaidi ni huu wa Phil Collins...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Would you give up JF for your wife/girlfriend/fiancee?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Movie imeaanza msiniulize maswali nendeni insta wacha niagize porpcon
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau mliokaribu na Alikiba tunasubiri tamko lake.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
On September 7 1996, Tupac Shakur was shot in Las Vegas (he was 26 yrs old), Nevada just moments after witnessing his friend Mike Tyson win the WBA heavyweight title. Six days later on September...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Wana JF Nimekuta watu wakiongea na kubishana kwamba Marehemu baba wa Taifa alikuwa busy sana kiasi kwamba hakupata muda wa kuweza kujifunza kuendesha gari,kwamba hadi mauti yanamkuta alikuwa hajui...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Sipo hapa kujadili siasa...ukweli usiobishika ni kuwa JK hawezekaniki kwa pamba kuanzai za kawaida suits mpaka kanzu (anakwenda kama Sheikh Mohammed wa Dubai Post your pictures
1 Reactions
61 Replies
12K Views
Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake...
12 Reactions
55 Replies
9K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Happy... shughuli iliyofanyika jijini Dar es Salaam ikiambatana na mbunge huyo kutoa mahari pamoja na Furaha ya...
8 Reactions
198 Replies
25K Views
Nakerwa na tabia ya watu fulani kuongea kwa sauti kubwa kwa simu ya mkononi kiasi cha kudraw attention ya wengine, wakashindwa kuconcentrate namambo yao kipindi hicho wakimsikliza yeye. Nadhani...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wana Jf najua kuna wimbo unaupenda kuusikiliza kila siku iwe ofisini, kwenye gari lako au nyumban kwako! Mimi binafsi "africa unite" wa bob marley. Unapenda up?
0 Reactions
111 Replies
15K Views
Nawashangaa sana watoto wa bongofleva mnaoendekeza njaa!! Wengi wenu mnatakiwa mmwite kaka huyu jamaa, na wengine ni baba yenu kabsaa (kwenye mziki)! Ss mnapofunua vidomo vyenu vyenye lipustiki na...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Huyu bwana anajulikana kwajina la Claudio Paulo Pinto anauwezo wa kucheza na macho yake atakavyo anauwezo wa kuyatoa macho yake kwa 7 millimeters (0.3 inches) na alianza kufanya hivi tokea akiwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231). Historic. 🇳🇬
5 Reactions
70 Replies
14K Views
Msanii Langa ameelezea jinsialiyokuwa mteja kwa kipindi cha zaidi ya miaka 6 , ambapo uteja ulimradhimu kukimbia nyumbani,kuwa mwizi (kibaka) mtaani na pamoja na kuishi ghetto. Langa aliongea hayo...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Kila nikifikiria hii kauli ya huyu mbibi naona si tu alikuwa anawaingiza wanawake wengine kuwekewa nyumba ndogo zisizo na ulazima na waume zao bali alikuwa anawadanganya pia ....Wanawake wanyimeni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…