Habari wanajamii.
Naombeni kuuliza hivi, kati ya Beyonce na Rihana nani mwenye mvuto wa kimahaba? Nilikuta watu wanabishana nani mkare na mimi nimeona niwashirikishe.
Baada ya Mh. Zitto Kabwe mapema mwa wiki kusoma bajeti mbadala bungeni kwa kutumia iPad...nae Fid Q, Ngosha The Swagga Don kuendeleza mwendelezo wa swagga, alipokua katika tukio la fulani katika...
Ujue kuna mambo ya ajabu sijawahi kuona ni upuuzi na unyanyasaji kwa mwanamke...
Mc pilipili mwanamke hujamuoa,kumtembeza kwenye media anamaanisha nn?
Hivi what if wakimwagana unadhani huyu...
Huko instagram dada yetu amecharuka [emoji116]
Ikumbukwe kuwa dada yetu baada ya kupona kutokana na madhara ya madawa ya kulevya aliokoka, kwa sasa anaishi England
Sent using Jamii Forums...
Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia.
Ama kweli siasa ni mchezo mchafu, nikikumbuka siku alipotutangazia kwamba anaachia sofa seti zake na kuingia uraiani na jinsi mkewe alivyo bubujikwa machozi leo hii NAFURAHI SANA ingawa ujasiri...
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
Baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, AliKiba (Mzee Saleh Kiba) amefariki Dunia alfajiri ya leo Januari 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa...
It is hard to believe that she is 41 years old and a mother of two.But Jennifer Lopez looks, and dresses, much younger than her age.
The American Idol judge flashed some serious skin yesterday in...
Wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mambo vipi.
Nimepata mshituko mkubwa baada ya kusikia mzee wetu (babake kiba) ameiaga dunia. Nikiwa Kama binadam siwezi kujiskia vizuri ila hii imekuwa zaidi...
Jamani ni udadisi tu wa hapa na napale, nikagundua kwamba ukiona mtu yeyote;
Mkeo, mchumba wako, rafiki yako, baba yako, mama yako, mwanao,mjomba yako rafiki yako n.k anamzimikia sana bob, sana...
Nilikua nafikiria itakuwaje hawa ma celeb wakitoa makeup au watumie makeup ya kawaida (kama sisi), watakuaje. Nimewapata ma celeb kadhaa bila makeup, wanatisha. Kumbe wanawake wa bongo ni wazuri...
Nasikitika kuona kaka zetu wakilalamika dada zao kuolewa na wazungu, wakati wao ndio wanasababisha.
Kwa ufahamu wangu kuanzia miaka10-11 iliyopita kiwango cha wadada wa kitanzania kuolewa na...
Dunia leo inaadhimisha miaka 30 ya kicho cha mwanamapinduzi Robert Nesta Marley.
Music wake ulichangia kuleta hisia za kimapinduzi. Mchano wake uliheshimika sana hadi kupewa nishani ya amani na...
NEW YORK Whitney Houston is back in rehab. A representative for the superstar singer confirmed Monday that Houston is undergoing treatment. Kristen Foster says Houston is in an out-patient...
Naomba kujua huyu ni nani? na je ni mtanzania? Kiufupi nataka habari zake huyu dada mana ndio kwanza nimembmui kwnye Instra. Anaonekanwa kama mashuhuri flani hivi ila sie wengine ni watu...
Wakuu Nawasalimu wote ,nasimama na CAG!
Mwishoni mwa mwaka mimi na Jamaa zangu tuliona tukafanye kazi na Bata Nairobi Kenya kwa maana huu uelekeo wa vyuma haueleweki basi tukakubaliane...