Msanii wa Bongo Flava, Msamii amesema si kweli kwamba ameshawahi kutoka kimapenzi na Nandy.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma katika mahojiano na Bongo5 amesema Nandy ni kama...
Nimeshindwa kuelewa kama hii ni spinning ama ni makosa ya mwandishi wa habari? Kichwa habari kama hicho ukisoma haraka haraka unaweza kudhani kwamba Mkuu wa Mkoa ameagiza watu wajichukulie sheria...
Aliyekuwa mke wa rais wa Marekani Michelle Obama ametoa kumbukumbu ambapo amefichua matatizo aliyopitia katika ndoa yake na uja uzito wa watoto wake wawili.
Katika kitabu hicho, Becoming, Bi...
Binti wa JK aitwaye Salama Kikwete amehitimu digrii ya Doctor of Dental Surgery Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili.
Hii inafurahisha kwa baadhi ya viongozi wetu kusomesha watoto...
Rayvany ametoa wimbo mpya akishirikiana na diamond unaoitwa Mwanza
Bill Shaka Hawa ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kuimba lakini za kushangaza wametoa wimbo mbovu Sana kulinganisha na uwezo...
BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali.
Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote.
Cha ajabu ni...
Mchekeshaji, Steve Nyerere amesema kuna watu wasiojulikana wamekuwa wakimfutilia kwa siku tatu mfululizo hali inayotishia usalama wake.
Akizungumza na MCL Digital, Steve aliyejipatia umaarufu kwa...
Nimesikia Harmonize anashikiliwa hotelini mjini Eldoret kwa kushindwa kulipa bili ya hotel hii ni baada ya kutolipwa pesa ya show nayeye kugoma kupanda jukwaani.
Mlio karibu nae tupeni ukweli
Kiukweli katika vitu ambavyo vinasikitisha na kutia aibu ni kuona raia wa kigeni wakitukuza lugha yetu adhimu ya kiswahili huku sisi waswahili halisi tukipuuzia lugha yetu na kuiona kuwa ni lugha...
Habari Wana JF!
Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata...
BAADA ya kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na aina ya mavazi yake, msanii wa muziki na filamu, Jaden Smith, amesema ataendelea kuvaa nguo yoyote atakayoona inampendeza.
Msanii...
Naufananisha muziki na bahari kubwa, wavuvi wapo wengi na sokoni kuna samaki wa kila aina kuna samaki wana virutubisho vingi na ni watamu kweli ila hawana soko au labda wanachukuliwa poa na walaji...
Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga...
Hivi huyu jamaa ana watoto kweli? atajisikiaje mtoto wake akikuta anaimba hayo matusi?ama kwa hakika haya maajabu naonaga kila ijumaa akipost mambo ya mtume mohamed nikawa namuonaga mtu wa maana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke kwanza ,maana nilikuwa nawachora tu urafiki wao wa mashaka.
Hivi tangu...
Mjini kiki ni WCB, WCB ni kama maji ,usipokunywa, utayaoga tu .
Soudybrown amejikazaa weeeee mwishoni yamemshinda maana alikuwa ameshaanza kupoteza kundi kubwa la watu kwa kukosa habari moto moto...
Wana JF,
Katika tasinia ya Muziki wa dance, kote nchini ulitamba kiasi kwamba walitoka kiingilia cha bia 2 hadi kiingilio fedha tshs elfu 10, kama wapo ambao mlishuhudia tukipishana Readers club...
Van Vicker and his Wife share their Marriage Secrets
Many Celebrities find it difficult to remain in marriage.
Van Vicker and his wife share what has kept them together till date.
Huyu bondia ANTHONY BELLEW ambaye amepoteza pambano usiku wa leo dhidi ya mpinzani wake Oleksander USyka ni shoga au???
Inawezekana vipi mwanaume kumbusu mara mbilimbili mwanaume mwenzako tena...