Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wasalaam.... Pamoja na Binti Hamisa kuwa tayari kumpigania Diamond hata kuwa tayari kutukanwa na ndugu wa Diamond bila kumsahau Mama yake lakini bado Diamond ameshindwa kuwa na huruma kwa Hamisa...
0 Reactions
103 Replies
13K Views
Mrembo mwenye asili ya Rwanda na Uganda anayejiita Choseme_bree ambaye ni rafiki yake Marehemu Mrembo Masogange ameonyesha kumkumbuka sana na rafiki yake huyo. Na sasa anayaishi maisha yake kwa...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Wadau kama kichwa kijielezavyo. Kuna mwenye kuujua huo wimbo wa Josee Mara wa Mama? Nakumbuka niliwahi kuwa nao kitambo, bahati mbaya nikaupoteza. Naupenda sana huo wimbo. Mwenye nao au kujua link...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu sakata la Jerry Muro liibuke mjadala umeelekea kwenye ' nadharia ya njama'. Jeshi la Polisi ndilo linaloonekana kutupiwa lawama zaidi. Nahofia hatulitendei haki. Mimi najaribu kuvaa '...
0 Reactions
129 Replies
32K Views
Mtoto Patrick ameshatangulia mbele za haki lakini huku nyuma, moto unawaka. Mama yake, Muna Love amesababisha kizaazaa kabla hata mwanaye hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, machozi jasho...
5 Reactions
344 Replies
41K Views
Huyu dogo wa Tandale na Mfalme wa Madale Chibu D,anazidi kuichafua Marekani kama sio kuivuruga kabisa...hizi show si mchezo... ....
4 Reactions
76 Replies
11K Views
MSANII maarufu wa vichekesho Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema amekoma kuwa kiongozi misibani kwa sababu ya matusi anayovuna akishika nafasi hiyo. Steve aliiambia Za Motomoto News...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
STAA wa R&B, Ed Sheeran yamemkuta! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya familia ya aliyekuwa mkali wa muziki huo, marehemu Marvin Gaye kutaka ilipwe dola milioni 100 (zaidi ya bilioni...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwili wa mtoto Patrick umefikishwa viwanja vya Leaders kutoka hospitali ya Mwananyamala unaagwa na ndugu, jamaa na marafiki Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
1 Reactions
90 Replies
23K Views
Ruge change bro..Karma inakuja Binafsi nauunga mkono hoja ya TID mnyama wa Kinondoni..
4 Reactions
98 Replies
10K Views
Huu wimbo wake mzuri sana sana angekuwa kaumba Nandy nahisi angepiga show za kutosha ila tatizo nyota. Ila pia sifa apewe Ibra Nation kwa uandishi na Melody nzuri.
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Nimeangalia mahojiano mengi ambayo amefanya muna baada ya kuokoka akizungumzia maisha ya wokovu na ufahamu wa kimungu, nimegundua kuwa Muna unaupeo mdogo sana wa uelewa, pia inaonyesha maisha yake...
5 Reactions
32 Replies
6K Views
Licha ya kuahidi kuwakabidhi nyumba kila mmoja kwenye kundi la Yamoto band Mkurugenzi na mwanzilishi wa Yamoto band na TMK Wanaume, Said Fella jana alimkabidhi kiongozi wa Yamoto band Aslay gari...
2 Reactions
30 Replies
24K Views
Baada ya Rayvanny msanii kutoka wasafi classic inayomilikiwa na Diamond Platinumz a.k.a Simba kupima HIV maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuweka hadharani matokeo huku akiwasii wasanii wenzake...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Waungwana habari zenu naamini mko swalama salimini,leo nimeamua kuuleta ukweli juu ya masuperstaa wakubwa hapa bongo yaani wasanii wenye nafasi zao kubwa katika ladha ya bongo(bongoflavour) na...
0 Reactions
44 Replies
18K Views
-Kupitia ukurasa wa Instagram wa Zamaradi mketema amethibitisha kuwa mtoto wa Munalove almaarufu kama patsmartboy amefariki dunia mda mfupi uliopita -Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita...
4 Reactions
365 Replies
62K Views
Msanii wa hip hop Dogo Janja amekanusha tetesi za kujihusisha kimapenzi na muigizaji wa zamani na mfanyabiashara Muna Love kwa kusema hajawahi kuwa na mahusiano na habari hizo zinamuweka sehemu...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa...
6 Reactions
383 Replies
31K Views
Back
Top Bottom