Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond Mapenzi ni kitu ingine..
2 Reactions
58 Replies
10K Views
Wanajamvi waandaaji wa Miss Tanzania 2018 tumewapata au tumepatikana? Hebu ona miss Rukwa aliyepatikana anaitwa Florida venance umri miaka 23,
1 Reactions
157 Replies
22K Views
Diamond adaiwa kuwa ame copy na kupaste wimbo wake mpya was baila kutoka wimbo original saans. Alichocopy inadaiwa mavazi na location ya video shoot Hii si mwanzo zingine kama Wimbo wa kidogo (...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, ni muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muziki mtamu na wenye ladha tamu kutoka Africa ya Magharibi(hasa Nigeria. Kiukweli...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi...
6 Reactions
43 Replies
14K Views
Yule presenter maarufu na mwananadada gang,Salama J amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha ambazo zinaonekana kuwa amechoka,kubwa kabisa ni pale anapoonekana kama busta ya kutaka kifua...
1 Reactions
79 Replies
16K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema itatoa amri endapo msanii wa filamu nchini Wema Sepetu atashindwa kuwasilisha uthibitisho wa nyaraka za matibabu yake. Hatua hiyo imetokana...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimefatilia sana hawa wasanii wa kike waliopata kuwa na majina makubwa tangu zamani kama Ray C, Mwasiti, Linah, Rachel, Vumilia, Qeen Darlin, Pipi, Shilole, Snura, Vanessa Mdee, Ruby, Maua Sama...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Muimbaji wa muda mrefu wa kwaya ya Ambassadors of Christ, Mr. Nelson Manzi pamoja na mke wake Eunice wamepata mtoto wa kike, taarifa toka kwa ndugu wa karibu wa familia hiyo ametupa habari...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Huyu jamaa kweli ni mwendeshaji mzuri wa kipindi cha Morning Magic akiwa na wenzake akina Kibwana Dachi Mkambala, na Mary Edward. Tatizo lake ni kuongea maneno ya Kingereza kila baada ya...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Awali ya yote naomba nitangaze "mahaba" yangu (decralation of interest) kwa mwanamuziki nyota nchini Ali Kiba, kwamba mimi ni mshabiki wako wa kutupwa. una sauti nzuri, una kipaji cha hali ya juu...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3. Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono...
8 Reactions
106 Replies
29K Views
Picha iliozagaa katika mtandao wa facebook, ikimwonyesha mtangazaji mashuhuli wa idhaa ya kiswahili ambae ni raia wa Tanzania; Salim Kikeke imezua mjadala mzito. Picha hiyo ambayo Kikeke...
5 Reactions
193 Replies
52K Views
Wakuu huu wimbo mpyawa Ruby ni hatari tupu... nimeupa 100 kwa 100.
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Hadi wa Leo diamond hajawahi kukili alimfuta alikiba kwenye lala salama . diamond agekuwepo wapi Kama si alikiba alimpa nafasi Bob junior amrekodi diamond. Bila international collabo diamond si...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kati ya wasanii ambao nawafatilia sana katika kila neno analo tamka kwenye muziki wake basi ni Msanii Fid Q.... maana kila atamkalo kwenye wimbo lina maana kama si leo basi ni kesho litakuwa lina...
4 Reactions
48 Replies
8K Views
Nakaaya, ambae ni dada wa Nancy Sumari, amemjibu Mange kuhusiana na uzi aliouweka kwa blog yake kuhusu ndugu hawa kuwa mbuzi na chui. Uzi ule ulionekana kuelemea kwa Nancy Sumari kwani ulionesha...
1 Reactions
164 Replies
39K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz leo Julai 7, 2018 amesema kuwa endapo itatokea kesho akaaga dunia basi nusu ya mali zake zitachukuliwa na mama yake mzazi. Kupitia ukurasa wake...
21 Reactions
204 Replies
23K Views
Hatimaye mwalimu wa kiingereza wa diamond na wasanii wengine wa WCB amefanikiwa kumfanya Diamond aongee kiingereza. Nimesikiliza interview aliyoifanya Washington DC Marekani nikashangaa ama kweli...
5 Reactions
40 Replies
13K Views
Popular Female Singer in EA Lady Jay Dee and Popular Presenter in Tanzania Gadner Habbash who were used to be wife and husband those days,before things went wrong....finally they met and shake...
3 Reactions
76 Replies
12K Views
Back
Top Bottom