Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.
Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi...
Jana (280212) nilishuhudia mtangazaji bora wa kike 2011 Zamaradi Mketema akisema kipindi chake maarufu hakitakuwa hewani (mwisho wake) akiwa anamhoji Kanumba......nilisubiria kwa hamu nione...
Mayasa Mariwata na Hamida Hassan
Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo...
Moto wa maneno makali kati ya 50 Cent na Floyd Mayweather Jr umeendelea kuwashwa na wawili hao kwa mara nyingine tena kwa kudhalilishana kifedha.
50 Cent na Mayweather Jr
Floyd Mayweather ndiye...
Wakuu mara kadhaa nimejaribu kuangalia hii tv na imeishia kunichosha tu...
Kwa kifupi nilitegemea itakuwa tv ambayo italeta mapinduzi katika sekta ya burudani lakini imekuwa tofauti kabisa...
VIDEO Queen Sasha Kasim ‘Kim Sasha ’ hivi karibuni amedaiwa kutapeliwa pesa za gari na mpenzi wake (jina linahifadhiwa) ambaye ni mume wa mtu kitendo kilichomsababisha adate na kukimbilia Zanzibar...
Hii imejumuisha wanamuziki, waigizaji watangazaji nk. Naona Tanzania huku ndio tunakojivunia
Nigeria na Tanzania ina mastaa wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram barani Afrika...
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu akishuka kwenye usafiri wa bajaj wakati alipokuwa katika majukumu yake ya kila siku ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Ilala. #ZUNGUKAZINI
Msanii nguli wa Hip Hop, Emmanuel Elibarik maarufu kama Ney wa Mitego anadaiwa kupokonywa magari mawili aliyokuwa ameyachukua kwa mkopo baada ya kushindwa kurejesha mkopo huo
Dar es Salaam: Mwanamitindo Jokate Mwegelo amegeuka ‘Mbogo’ baada ya kuulizwa habari inayohusiana mwanamuziki Ali Kiba.
Jokate Julai 26.2018 alitia timu katika arobaini ya mtoto wa mtangazaji...
Mzazi mwezie na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari ameukataa ugeni wa mastaa wa filamu kutoka Tanzania Wema Sepetu na Aunty Ezekiel.
Marufuku hiyo ya Zari imekuja masaa...
Wanandugu sasa naweza kuruka na atcl;nilikuwa nailaani sana hasa baada ya kushindwa kunisafirisha miezi iliyopita;majuuzi niliamua kwenda mwanza hakika walinifurahisha tangu huduma za ndnai mpaka...
Mama mzazi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, mtunzi mahiri wa hadithi, mjasiriamali na motivational speaker, Eric Shigongo, Asteria Kapela amefariki dunia alfajiri ya Ijumaa, Julai...

Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’
Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi.
Katika wimbo...
Nikiwa nasherehekea ujio wa mtoto wa tatu katika Ndoa Yangu nataka niandike haya machache katika jukwaa hili ili ndugu yangu shemeji yangu Rayvanny uokoe roho yako.
Mambo mengi yametokea huko...
Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
1. Mc Lyte, 1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.
2. Nas na Damian Marley, 2010
Nas and I can speak rap star
Y'all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.