Katika ari ambayo isiyoelezeka Zamaradi ajikuta akilabwa na Matusi ya Nguoni na Watanzania hii ni baada ya kumuWish Happy birthday@tiffa wa Diamond kwa kumtag@diamondplatnumz pekee bila ya mama...
Angalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTF
UPDATES
==============
Baada...
Hawo wasanii aslay na harmonize ndio watakae chukua nafasi ya alikiba na Diamond . Alikiba aliwahi kusema hili kuhusu aslay ‘Tamba Mdogo Wangu Unajua’ huku akiambatanisha na kava ya wimbo huo wa...
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan...
Mara ya mwisho kumsikia DJ huyu aliyepata kuwa maarufu sana nyakati hizo alikuwa radio one. Kwa yeyote ajuaye alipo na anafanya nini atujuze tafahali.
Alijua kuyapanga mabuzuki, masebene...
Wimbo kama naliamsha dude na unanifanya nicome kwanini hazijafungiwa?
Weusi wamewapa nini mpaka hamjafungia nyimbo hizo? katika nyimbo ambazo zimefungiwa kuna nyimbo zimefungiwa na hazina maudhui...
Salam Wakuu,
Napenda kutoa Ushauri kwa Wasanii wa Bongo fleva ,Ni Wazi kwa Sasa video zina quality na soko Wamelikamata,Ila Kwenye upande wa Music bado..
Sijui uoga unatoka wapi wakati wana...
Mwishini mwa mwezi wa saba,dunia kama sio Tanzania,tulipata ujumbe kutoka kwa Diamond kwamba kutakua na Birthday party ya mwanae Latifa huko bondeni kwa Madiba!! Party itakua live kupitia channel...
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti...
Muigizaji mkongwe nchini India, Salman Khan amehukumiwa kwenda jela miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kuua wanyama jamii ya swala miaka 20 iliyopita.
Salman Khan mwenye miwani akipelekwa...
Leo ni arobaini ya mtoto wa Zamaradi Mketema. Kaalika mastaa mbalimbali kwenye siku hii special ya kijana wake King Salah.
Mastaa nao wamejitahidi kupendeza kwa kuvaa kinaijeria.
Mama Salah na...
Juzi alfajiri ya Aprili 19, mwaka huu, Kiba alifunga ndoa na mrembo Amina Khaleef katika Msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa, Kenya. Ndoa hiyo ilifungishwa na Sheikh Mohamed Kagera...
Yaani mnacopy kuanzia melody, beat hadi style ya kucheza. What a shame? Halafu ndio mnataka mshindane na Wanaija wakati mnawacopy kilakitu? RAYVANNY hapa umepotea this is too much, dancers nanyie...
Hello guys,
Nimefanya observation kwa mastaa wengi wa kike hapa Tanzania kama vile Jokate, Lulu, Wema, Wolper, Kajala n.k.
Wengi wao ni warembo na kwenye mvuto haswa lakini pamoja na umaarufu...
Mzuka Wanajamvi.
Katika huu wimbo wake wa My heart to you ndiyo ilikuwa music video yake the humble Giant ya mwisho. Ilikuwa very simple and humble Na aliifanya kwenye ranch yake.
Check pozi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.