Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanadada Nandy amejikuta akivua nguoa na kubaki na nguo za ndani baada ya kupanda jukwaani na kuimba nyimbo zilizowapandisha mzuka mashabiki wake na kuanza kumshangilia kwa nguvvu na kujikita...
0 Reactions
73 Replies
17K Views
Ripoti: Mfumo wa uongozi WCB, mikataba ya wasanii pamoja na wanaomiliki hisa nyingi za kampuni WCB ni moja kati ya label kubwa za muziki nchini Tanzania yenye mafanikio zaidi kutokana na ukubwa...
2 Reactions
28 Replies
13K Views
NILIKUA SIJAMUWISH star wetu chaumbeya nambari moja insta wengine wanajikongoja Nimechelewa ila,,,,,ngoja nikuwish tuuu Happy birthday to you #carrymastory
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Heshima Zanu JF Great Thinkers. I see WCB wana work hard sana kugrow bigger and bigger. Mimi nikiwa kama mdau na supporter wao nimewaza nishauri hili wazo. Ni kuhusu kuendeleza vipaji vya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau mimi ni Beat ya wimbo wa MIKASI wa ManNgwair na Beat ya wimbo wa NIKUSAIDIJE wa prof Jay. Aisee hata kama nimekasirika naanza kupata raha tuu. Yani natamani kucheza au kutingisha kichwa...
13 Reactions
361 Replies
46K Views
Tukubali tukatae Mbosso ni msanii mkali kabisa wa kizazi cha sasa cha bongofleva. Ana aina yake ya uhandishi, anauimbaji wa tofauti wa pwani, ana weza kutengeneza idea nzuri ya nyimbo. Naweza...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
  • Closed
BASATA tafadhalini tuachie tuburudike na hili goma, jamaa wameng'ata na kupuliza ndani yake
1 Reactions
87 Replies
26K Views
Wengi tumekuwa tunamuona kwenye movie lakini hatujui anaishije.. haya ndio maisha yake Kuna video na screenshots kutoka kwenye video
7 Reactions
36 Replies
25K Views
Wakuu, Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo? Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu...
2 Reactions
100 Replies
15K Views
1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa 2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond 3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake 4. Lowassa ana ugonjwa wa...
21 Reactions
112 Replies
16K Views
70% - maji ya kunde 18% - weusi 10% - weupe 02% - weupe zaidi Source: observation yangu.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
JULAI 28, mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alimteua aliyekuwa mshindi wa pili wa mashindano ya ulimbwende Tanzania (Miss Tanzania 2006), Jokate Mwegelo...
4 Reactions
24 Replies
8K Views
Heri na siku ya kuzaliwa kitoto Cha Taifa na kitoto cha msaniii mkubwa Africa na East Africa kwa ujumla nchini Tanzania Diamond platnum aka chibudee ,baby Dee tulikupigania hadharani mpaka leo...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza...
10 Reactions
119 Replies
19K Views
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao...
11 Reactions
210 Replies
45K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema halijawaita wala kufungia wimbo wa Parapanda uliombwa na wasanii wa kundi la Rostam, Roma Mkatoliki na Stamina na kusema kuwa labda wameamua kujifungia...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
🎵🎤🎼🎶🎵🎤🎼🎶🎼🎶🎼 👤 for Roma na 🙊 for Stamina 👤Karibu mzee kingunge kwenye makazi ya milele Mimi huku ninamji wangu tayari unaitwa nyerere ,nimeshtuka kukuona huku nini chanzo cha msiba..h, 🙊...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Account yake pendwa yenye followers mil 4.2 ya Instagram imehackiwa. Update : ni kawaida kwa wanadam kusema lolote lile hasa kupinga...hebu fikilia watu wanapinga hadi uwepo wa mungu na mamlaka...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom