Jokate ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Amefurahi na kumpa hongera kuteuliwa was jokate mkuu wa wilaya ya Kisarawe akiongea na Millard Ayo tv
Wakuu leo ndio imethibitika kuwa Rich Mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya Mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records...
Kanye West '41' amesimamisha kazi zake zote kwa sasa ili kuwa karibu na baba yake ambaye anaugua saratani ya tumbo. . . Mzee Ray West ambaye anapata matibabu mjini Los Angeles anaendelea vizuri na...
Wanajamvi salaam!
Hivi karibuni msanii Diamond Platnumz alipelekewa taarifa ya TRA assessment ya kudaiwa kodi ya kiasi kisichopungua milioni 400,
Wadau mbalimbali walijitokeza kumtetea akiwemo...
Anajulikana Kama Jacky Pemba alikuwa akiishi Bongo Zaman Akina Fm Academia Akina Bella na Bendi yake wamezifaidi hela zake sana Huyu Jamaa kiufupi ni tajiri (Nasikia utajir wake umekuja kutokana...
Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate...
Moja kati ya viumbe vinavyoishi maisha ya maigizo ni wasanii wetu wa Mziki na Maigizo hapa tz, Ukiangalia maisha wanayoishi wengine kwa kuigiza na wengine kwa kutumia vya kwao kweli lakini sio...
Wanajamvi nnaomba kuwaulizia hawa watu walikua na kipindi cha mahusiano, hivi bado wanaendelea na kama ndio kipo lini na saa ngap maana wengine tunapata shida kujua vpnd vya tv vpo lini na lini...
Hichi Kichwa nilikiona kwenye Komaa Concert ya EFM Mwanza hakika kwa upande wa kina dada yeye ndie aliegusa nyoyo zetu wasukuma na kutuacha Hoi, Kama kuna mtu ambaye yupo karibu nae huku Tafadhali...
The hit maker wa "Heart attack" na RnB super star Trey Songs bado anasumbua kwenye social networks kuhusiana na ishu yake ya kua shoga.
Kupitia ukurasa wake wa tweeter aliwahi ku-confess kua yeye...
WENGI ukiwauliza kuwa wanamfahamu vipi Kojate Mwegelo, jibu lao litakuwa ni Mshindi wa pili wa Miss Tanzania mwaka 2006.
Wengine watakuambia ni Miss Temeke mwaka 2006 na pia Balozi wa bia ya...
Waungwana salamu kwanza!
Katika pitapita zangu YouTube nimekutana na remix ya wimbo wa diamond "sikomi" ukiwa umeelezwa kuimbwa na Zari. Nimesikiliza ndani pia naona mwanadada aliyeimba humo...
DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond' amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna...
Nimekuwa nikiona hawa watu wanne wakiwa karibu sana na kushirikiana sana katika mambo mbalimbali hali iliyonifanya nijiulize kuna uhusiano gani. Najua lazima watakuwa ndugu lakini sijajua ni...
Hakika hawa vijana ni mfano wa kuigwa wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa dar kijana machachari paul makonda ,wamekuwa wakinivutia sana pia na kijana william malecela au lemutuz nae ni mfano wa kuigwa...
MWANAMUZIKI ambaye hivi karibuni aliachia wimbo wake uitwao Mipaka, John Simon ‘Joh Makini,’ amefungukia kupotezwa kimuziki na baadhi ya wanamuziki wanaofanya vizuri kwamba si kweli, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.