Kiukweli huyu kaka anayejulikana kama Hamisi Mmandi aka B 12 ni moja kati ya presenters wanaokobalika sana ktk industries ya bongo flavour na toka tumeanza kumsikiliza ni mda mrefu sana amekuwa...
Kumekua na tetesi nyingi sana toka msanii Rich Mavoko ajiondoe WCB.
Wengi wamemsakama Diamond kwamba alikua anamnyonya sana Mavoko,na wengine wakimuona Mavoko kakengeuka bila kusahau tetesi za...
Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati...
Lesego Motsepe aliekuwa mwigizaji katika tamthiliya ya Isidingo amefariki ghafla leo saa tano asubuhi nyumbani kwao huko Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 40.Lesego aliyekuwa anaigiza kama...
Wana Jf wasalaam...
Mmoja wa wasanii wetu bora kabisa wa hip hop amerudi tena kwenye masikio yetu...
Moja ya kipaji alichapewa fid q ni uwezo wa kucheza na maneno na kilo wimbo wake ukiusikiliza...
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye...
Ni hatua kubwa sana kwake,mara baada ya tetesi nyingi za kufukuzwa WCB.
Bora kaamua kujiajiri,na umaarufu wake utamsaidia kujitangaza sana.
Hongera bro.
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.
Mavoko hajaishia hapo tu ...
Mwigizaji mama la mama kwenye kiwanda cha kuzalisha Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya ametoa la moyoni kwamba, bado hajaona mtu kama marehemu Steven Kanumba kwenye tasnia hiyo.
Uwoya ambaye ni...
Nipo katika likizo ya kiajira, hivo basi nimeona nitumie likizo yangu kuchangamsha ubongo kwa hoja nyepesi nyepesi.
Nipo hapa maskani kwangu nikitazama wasafi tv wakati huo huo nikitembelea...
Radio Tanzania RTD mama wa tbc ndio redio kongwe nchini. Imechangia sana maendeleo ya nchi yetu tangu Uhuru.
Huwezi kuzungumzia historia ya Tanzania bila kutaja mchango wa RTD.
Radio hii imesaidia...
Wakili mtoto wa Karume azusha tafrani kortini
Tanzania Daima,22.11.07
na Happiness Katabazi na Nuru Yanga
WAKILI wa Kujitegemea, Fatma Karume, jana alitoa maneno makali dhidi ya Hakimu...
WAZIRI wa Habari, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata...
By Nasra Abdallah, Mwananchi. nabdallah@mwananchi.co.tz
Msanii Rich Mavoko amefikisha malalamiko yake serikalini kwa kutoridhishwa na mkataba aliopewa na uongozi wake wa WCB.
Hayo yamesemwa na...
Wabongo nimeamini tunapenda umbeya majungu na kufatilia ya watu
Tunapenda kudeal na yaso msingi
Issue ya sister fey na kibenten chake personal life yake watu wananunulia bandoo
Nimeamini watz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.