Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Atageuka Baadae ila unaweza kutambua ni nani huyo? (Aliye Peku).
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa katika mastaa wa muziki Alikiba ndiye msanii ambaye anatamani kudate naye. Diva ambaye kwa sasa...
4 Reactions
45 Replies
17K Views
Wana jF... Yule binti ambaye mahari yake hadi sasa ni Tsh Million 200 za kitanzania na ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto kuliko wote hapa Tanzania leo amefanyiwa suprise ya nguvu na aliyekuwa...
16 Reactions
177 Replies
39K Views
Mtangazaji maarufu wa kituo cha Clouds FM, Diva The Bawse amedai kuwa baada ya kumwagana na aliyekuwa Boyfriend wake Heri Muziki amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume hadi inakuwa kero...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Mwanadada mwenye mvuto wa kuweza kumshawishi mtu kulipa mahari ya Tsh miln 500, na anayeongoza Tanzania nzima kwa sauti nzuri ya utangazaji redioni. Leo akihojiwa na mbea sugu Sudy Brown kwenye...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine. Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama...
31 Reactions
929 Replies
131K Views
BY Na Dk Levy IN SUMMARY Njia za Jide anapita Diamond leo, ingawa kapiga hatua nyingi zaidi ya dada yake. Advertisements Stara Thomas ni kama kaondoka, yeye yupo. Unique Sisters walitoweka...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Mara baada ya tajiri Aliko Dangote kutangaza kuwa umefika muda wa yeye kupata mpenzi hatimaye awe mke wake wa ndoa , wadada na mastaa wengi wa kike hapa nchini na duniani kwa ujumla wamejikuta...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Naelewa uwepo wa ndugu zetu ambao hamtaelewa (Mtatoka Weupe) katika mada hii. Niwaambie tu ya kwamba, Legezeni vichwa. Kuhusu topic.. Ni perfomance zipi unazielewa zaidi na ungependa wahusika...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia...
24 Reactions
173 Replies
20K Views
Ni muda sasa hatumuoni sijui anasumbuliwa na nini? Nasikia ni mgonjwa ila hatujui anaumwa nini Mnaojua mtujuze
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Muigizaji wa Bongo movie Monalisa usiku wa leo atafurahia siku yake ya kuzaliwa ndani ya Club Legends karibia na best bites ilipokuwa nyumbani lounge. Kutakuwa na burudani ya B band ya Banana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa...
5 Reactions
163 Replies
19K Views
Diamond ndio 1. Msanii pekee ambaye nyimbo zake hazipigwi kwenye media na bado anakimbiza tofauti na ilivyokuwa kwa Sugu, Dudu baya pamoja na Z anto. 2. Ni msanii mwenye mashabiki wengi Afrika...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Mods msifute huu uzi kuna cha kujifunza hapa. Kuna kale kamsemo kanasema ukiwazoea sana watoto wa kike bila kuwa.kaza kuna siku watakushika wo.wo.wo.. Hii imejidhihirisha kwa mwandada Amberlulu...
8 Reactions
40 Replies
14K Views
Tuzo za afrima nchini nigeria imetoa list ya wasani watakaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali katika mashindano hayo. Huku wasanii kutoka katika lebel ya WCB wakiongoza katika vipengele...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani...
15 Reactions
79 Replies
11K Views
Mwenye details zozote kuhusu uyu jamaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Naomba msaada wa kumpata kiurahis zaid mheshimiwa mbunge wa viti maalum kupitia ccm vick kamata kama kuna mtu anapajua kwake au nyumban kwake naomba anambia...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom