Kama inavyoonekana hapa Diamond akuamini na anaonekana kutetemeka kama mtoto mdogo aliyelezimishwa kuoga maji ya baridi saa kumi na moja alfariji na viboko juu.
Wadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea...
Taaluma ya uandishi wa habari imesababisha nipende kusoma majarida mbalimbali, magazeti, magazeti tando(blog) na habari katika mitandao ili mradi kutaka kufahamu mambo yanayoendelea ndani na nje...
Salam wakuu,
Direct to the point.huyu dogo muimba kaswida WA wcb sijawahi kumkubali kabisa since day one ila kwa hii ngoma yake, nimeshawishika kidogo kuanza kumsikiliza...
Msanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000 alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu...
Siku zote katika maisha ili ufanikiwe inapaswa uwe na moyo mkunjufu ,moyo uliojaa shukurani bila kusahau kufanya kazi kwa bidii na kuwaheshimu wale wote wanaokusaidia ili uweze kutimiza ndoto...
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo...
ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo...
Mama wa Tupac amefariki usiku wa jumatatu kuamkia jumanne. Taarifa zinaeleza amekufa kwa matatizo ya moyo.
================
SAUSALITO, CA (KTVI)- The mother of legendary rapper Tupac Shakur has...
Yani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana...
Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa.
Akiongea na Millard Ayo akiwa...
Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga.
Clouds...
Msanii Miriam Jolwa (Jini Kabula) ameonesha kukasirika sana kutokana na vifo mfululizo vya wasanii .Kabula hakusita kuvihusisha vifo hivyo na imani za kishirikina huku akitoa maneno makali kwa...
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya Diamond Platnumz licha ya kusainiwa WCB.
Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama...
Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume.
Katika pitapita zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.