Mwanamitindo Hamissa Mobetto amepata mwaliko wa mwanamitindo kutoka Marekani lira Galore ambaye pia ni ex girlfriend wa msanii Rick Ross
Hata hivyo bado haijafahamika kama safari hiyo itahusisha...
Monica Lewinsky amekasirika kwa kukumbushwa mchepuko wake aitwaye Bill. Bill ni mume wa mgombea urais wa US aliyeshindwa kwa kura za 'turufu'. Mshindwa huyo wa urais anaitwa Hillary Rodham...
Jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki aliyemwambia kuwa kwasasa amekua ashikanishikani na wanawake. Diamond kajibu comment hiyo kupitia ukurasa wa Instagram wa @wasafitv ambao shabiki huyo aliacha...
AKILI IMEGOMA KUSHAWISHIKA
Nikimkumbuka vizuri ni msichana mrembo niliyekuwa napenda sana kazi zake za uigizaji, kapata umaarufu mkubwa sana kutokana na uigizaji na hata kuchukua vichwa vya...
Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefunguka kuzungumzia sakata la kutaka kurogwa na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto ikiwa ni siku chache toka audio inayodaiwa kuwa ya mrembo huyo isambae mtandaoni...
Aliitwa Lucky Philip dube, jina la lucky alipewa jina Hilo na mama yake baada ya mimba zake nyingi kuharibika. Alianza Muziki tangi akiwa mdogo
Mwanamuziki wa reggae nchini Afrika kusini kuwahi...
kumbe ilikuwa ni food fight, kijana mkubwa kaumizwa sana, wakati wa msiba bi mkubwa alikuwa anaagiza special delivery ya wali na "samaki mkubwa ka mkono," hali chakula cha msibani
kijana...
Kwanza Salam Wakuu.
Nimevutika kuandika hii mada kutokana na Waliowengi kufuatilia Bongo fleva zaidi..imesababisha Music kushuka kiwango na Kulazimisha hata Wale waimbaji Wenye vipaji...
Za J2
Nilikuwa Kanisani nikaona Ben Paul kakaribishwa kuja kuimba, akaimba Gospel
Me nauliza tu Ben Paul kwani ameendaga wapi?!
Umaarufu wake umeisha?!
Ndio tumetoka Kanisani nasubiri atoke...
Baada ya mwanamitindo Hamissa Mobetto kuachia wimbo wake uitwao madam hero nimejaribu kufuatilia kwenye redio station mbalimbali sijasikia hata moja inayoucheza wimbo huo.
Hii ni ishara mbaya...
Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.
hakuna cha
Jotii...
Hamisa Mobetto kila mara amekuwa akizungumziwa mno na kudaiwa kuwa mwanamke aliye na tabia chafu ya kulala na kuzaa na wanaume matajiri.
Kulingana na mwanamitindo huyo raia wa Tanzania...
Nchi za wenzetu raha sana kwa kweli hamna mambo ya kulazimishana mambo
Hapa kwetu mtoto anaweza akawa ana kipaji cha mpira lakini wazazi kwa makusudi wanakiua kipaji chake na kumlazimisha kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.