Wasalaam....
Pamoja na Binti Hamisa kuwa tayari kumpigania Diamond hata kuwa tayari kutukanwa na ndugu wa Diamond bila kumsahau Mama yake lakini bado Diamond ameshindwa kuwa na huruma kwa Hamisa...
Mrembo mwenye asili ya Rwanda na Uganda anayejiita Choseme_bree ambaye ni rafiki yake Marehemu Mrembo Masogange ameonyesha kumkumbuka sana na rafiki yake huyo. Na sasa anayaishi maisha yake kwa...
Wadau kama kichwa kijielezavyo. Kuna mwenye kuujua huo wimbo wa Josee Mara wa Mama? Nakumbuka niliwahi kuwa nao kitambo, bahati mbaya nikaupoteza. Naupenda sana huo wimbo. Mwenye nao au kujua link...
Tangu sakata la Jerry Muro liibuke mjadala umeelekea kwenye ' nadharia ya njama'.
Jeshi la Polisi ndilo linaloonekana kutupiwa lawama zaidi. Nahofia hatulitendei haki. Mimi najaribu kuvaa '...
Mtoto Patrick ameshatangulia mbele za haki lakini huku nyuma, moto unawaka. Mama yake, Muna Love amesababisha kizaazaa kabla hata mwanaye hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, machozi jasho...
MSANII maarufu wa vichekesho Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema amekoma kuwa kiongozi misibani kwa sababu ya matusi anayovuna akishika nafasi hiyo. Steve aliiambia Za Motomoto News...
STAA wa R&B, Ed Sheeran yamemkuta! Unaweza sema hivyo kwa maana nyingine baada ya familia ya aliyekuwa mkali wa muziki huo, marehemu Marvin Gaye kutaka ilipwe dola milioni 100 (zaidi ya bilioni...
Mwili wa mtoto Patrick umefikishwa viwanja vya Leaders kutoka hospitali ya Mwananyamala unaagwa na ndugu, jamaa na marafiki
Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick...
Huu wimbo wake mzuri sana sana angekuwa kaumba Nandy nahisi angepiga show za kutosha ila tatizo nyota.
Ila pia sifa apewe Ibra Nation kwa uandishi na Melody nzuri.
Nimeangalia mahojiano mengi ambayo amefanya muna baada ya kuokoka akizungumzia maisha ya wokovu na ufahamu wa kimungu, nimegundua kuwa Muna unaupeo mdogo sana wa uelewa, pia inaonyesha maisha yake...
Licha ya kuahidi kuwakabidhi nyumba kila mmoja kwenye kundi la Yamoto band Mkurugenzi na mwanzilishi wa Yamoto band na TMK Wanaume, Said Fella jana alimkabidhi kiongozi wa Yamoto band Aslay gari...
Baada ya Rayvanny msanii kutoka wasafi classic inayomilikiwa na Diamond Platinumz a.k.a Simba kupima HIV maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuweka hadharani matokeo huku akiwasii wasanii wenzake...
Waungwana habari zenu naamini mko swalama salimini,leo nimeamua kuuleta ukweli juu ya masuperstaa wakubwa hapa bongo yaani wasanii wenye nafasi zao kubwa katika ladha ya bongo(bongoflavour) na...
-Kupitia ukurasa wa Instagram wa Zamaradi mketema amethibitisha kuwa mtoto wa Munalove almaarufu kama patsmartboy amefariki dunia mda mfupi uliopita
-Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita...
Msanii wa hip hop Dogo Janja amekanusha tetesi za kujihusisha kimapenzi na muigizaji wa zamani na mfanyabiashara Muna Love kwa kusema hajawahi kuwa na mahusiano na habari hizo zinamuweka sehemu...
Drama zinaendelea, taarifa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni kwamba mwanadada Muna amewasili kutoka nchini Kenya lakini tofauti na matarajio ya waombolezaji waliokuwa...