Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard...
Wakuu,
Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi.
Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu..
Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi...
Sakata la Muna ni moto lakini mbele ya maji haufui joto. Si ajabu kesho mkaambiwa Familia ya Muna imezika kimya kimya maana ina haki ya privacy na ni swala la kifamilia.
Mkanganyiko uliopo hadi...
Niende moja kwa moja kwenye mada leo tar 06/07/2018 mida hii ya 23:19 nacheki shilawadu ambao wanaendelea kutujuza kwenye updates kuhusiana na msiba wa mtoto patrick wa munalove.
Kitu...
Huyu dada jamani kaharibu kwa kina Esma weee sasa kahamia kwa Muna Casto na Peter. Anapendaga kujifanya yeye ndo dada wa wanaume kupita dada zao halisi. Hii issue ya Pat kuwa mtoto wa nani...
Asante Mod's kwa kuniachia huru... Ban inauma.
Dada Munalove, kwanza shikamoo, japo najua utaikataa shikamoo yangu, maana mpaka leo bado unaji-bebisha wakati kidali poo ulicheza na shangazi yangu...
Kwa ufupi
Jana Julai 4, 2018 Muna kupitia ukusara wa mtandao wa kijamii wa Instagram liandika baba wa mtoto ni Casto Dickson
Dar es Salaam. Kufuatia sintofahamu kuhusu nani ni baba halisi wa...
Toka jana na leo asubuhi hizi taarifa zimezagaa sana. Tunambiwa mtoto anaumwa yupo Nairobi na kwa namna moja au nyingine nimeguswa ila mpaka sasa sijafahamu huyu mtoto anasumbuliwa na nini...
Wakuu wazima,
Kwanza nitoe pole kwa dada huyu kwa kuondokewa na mwanae.
Ushabiki tuweke pembeni.
Jamani Muna hongera mama pamoja na kuwa wewe ulikuwa Star ila umeweza mlea mwanao katika ile...
kwa wale wazee wanaofuatilia miziki ya hip hop especially trap music nani mkali kati ya hao wawili maana tunabishana sana kitaa
upande wangu naona 21 anajua sana kutokana na ngoma zake mfano...
Wakuu,
Ni wakati wa kumsema huyu dada yetu mcute maana amekuwa bonge la mama.
Haiwezekani miss wenzie wakina K lyn na Faraja Kotta, Nancy wawe mamiss mpaka leo yeye awe bonge nyanya.
Haiingii...
Wadau niaje,e bwana kuna mrembo alikuwa ana-hit sana miaka ya 2006 kwa kushiriki kwenye video za wasanii wa mamtoni,nasikia amekuwa-deported,sasa sijui yupo wapi kwa sasa?
::::deportee - a person...
huyu dada kwanini anakomaa tu na Diamond na sio majizzo aliyezaa nae mtoto wa kwanza? Kama utajiri mbona majizo ana pesa kuliko daimond? Au anafuata jina? Ama sababu Lulu alimtoa kwenye reli na...
Yeah ni kwa mara nyingine tena!!
Leo nataka wale wajuvi wa kufuatilia celebrities uchwara Jenifer na Patrick kanumba hivi hawa watoto Wanasoma kweli? Maana naona daily kutafutiana followers...
XXXTentacion.
MMOJA wa watu wanaotuhumiwa kumwua mwanamuziki wa Marekani, XXXTentacion, aliyetajwa kwa jina la Dedrick Williams, amekamatwa.
Mwanamuziki huyo aliuawa na watu wanaosemekana...
Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu...
Msanii TID amesema kuwa utaratibu wa wadau/media kushusha wasanii pale wanapodai maslai yao na kuwapandisha wengine ndio kitu kinaathiri muziki wa Bongo Flava.
Muimbaji huyo ameeleza kuwa kitu...