Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtoto kama huyu alitakiwa awe shule anasoma ikifika saa nne anaenda kunywa uji na wenzake. Lakini ona mambo anayofanya, kweli ana wazazi huyu mtoto?! Au ndo wale mnasemaga watoto...
1 Reactions
121 Replies
19K Views
Brother Chibu/Simba/Dangote/Sukari ya Warembo/Rais wa WCB/Domo/ Mzee wa TUMEWASHA ngoja niishie hapo. Sasaaaa hebu sawazishaaaa/Lipa kisasi cha Kiba na Samatta kwa jamii ya Watanzania ili nawe...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Huyu ni msanii kutokea kule kigoma amefanya ngoma kali miaka kadhaa iliyopita nyimbo ya mwisho kufanya vizuri ilikuw ile aliyemshirikisha diamond salima ila sasa hiv mshkaji anajitahidi kurudi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya watanzania wote kwa akili zenu zilizojaa upupu. Mzee nyerere hakuacha taifa la majitu majinga...
7 Reactions
68 Replies
8K Views
Hii ni remix ya wimbo wa Ace Hood wa "ride" ambao model wa Kitanzania Cynthia Masasi ana cameo.....bonyeza hapa YouTube - ACE HOOD - RIDE REMIX (WORLD PREMIRE) RICK ROSS JUELZ TREY Anaanza...
0 Reactions
101 Replies
18K Views
Wakuu tatizo ni nini? Bongo fleva tuwapongeze wanajitahidi sana, sasa Bongo muvi hata quality za video wanashindwa Tuwape miaka 100 ijayo
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kionjo kilivyo .. Wakongwe Wa bongo flavour.. Mnazungumziaje ujio huu wa Nature.. 'unayumba' !? Watoto kalaleni..
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Beat iliyotumika kwenye nyimbo ya lavalava kilio ndo beat beat iliyotumika kwenye nyimbo ya diamond sijaona na mpoto nimwage radhi ft harmoniz Jamaa ni producer mzuri isipokuwa ndo hivyo anakariri...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
MWAKA 1990 akiwa na umri wa miaka tisa, msanii wa Muziki wa R&B alijiunga kwa mara ya kwanza katika shule ya awali ya Parker Elementary huko Houston, Marekani. Akiwa shuleni hapo ambapo pia...
2 Reactions
73 Replies
15K Views
Yule zilipendwa wa sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe aitwaye Ramadhan Abdallah Mtoro ' Dallas ' anadaiwa kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha ikielezwa kwamba eti...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
Mwanamasumbwi wa Marekani Floyd Mayweather ametetea taji lake katika porodha ya Forbes ya wanamichezo wanaopata mapato ya juu zaidi duniani. Alijipatia kipato cha $275m (£205m) katika mechi yake...
1 Reactions
51 Replies
17K Views
Nidhahili huyu kijana mwenzetu anatisha balaa ukizungumzia makamilifu yake unaweza vimba vidole kwa kutype ukianzia humble beggining,hustle ,unyenyekevu,uvumilivu wa dharau ,kupambana na wivu (bob...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live jiki Mwanza, Millard aliamua kukaa...
2 Reactions
131 Replies
40K Views
1. Said Fella 2. Babu Tale 3. Asha Baraka 4.Sallam A.K.A Mendez 5. Seven Mosha
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Jamani hivi nani anajua alipo huyu DJ maarufu John Dilinga? Alikuwa DJ mzuri sana na mtangazaji wa Radio one early 2000
2 Reactions
128 Replies
27K Views
Ndugu wanajamvi msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi nimesikitishwa sana na kifo cha msanii Sam wa ukweli. Kutokana na kifo hiki nimejifunza jambo moja tu ambalo ni kifo hakina huruma na...
0 Reactions
67 Replies
15K Views
1. Alikiba na Diamond 2. Joh makini na fid q 3. Nikki wa II na nikki mbishi 4. Harmonize na harmorapa 5. Godzilla na billnass 6. Q chilla na diamond 7. Mr blue na diamond 8. Izzo buzness na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Tangu nimeanza kusikiliza Emcee kutoka Mwanza Farid Kubanda hajawahi kunichosha kumsikiliza kutokana na uwezo wake wa hali ya juu katika uchenguaji (kufoka) Tukija kwenye swala la uandishi jamaa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Aslay akidai kuwa waliwahi kuishi pamoja kinyumba...
1 Reactions
100 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…