Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu..
Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya...
Wazazi waleeni watoto wenu katika njia sahihi.
Miradhi bora kwa mtoto ni maarifa mema na si hulka za kijinga na angamizi.
Mama msaidie huyo binti. Kuolewa siyo mtaji wa maisha. Angalua siyo...
Mwanamfalme wa Uingereza Harry na mchumba wake muigizaji wa Marekani Meghan Markle watafunga ndoa mwakani, taarifa iliyotolewa na makazi ya kifalme ya jijini London (Clarence House) imeeleza...
Daaah Wanaume wa Dar Tenaaa!!
Ndugu wanaJF, Rapa wa Kike Chemical akihojiwa Leo na Enewz ya EATV amesikika akitamka kuwa Bikira yake pendwa alokuwa ameitunza kwa muda mrefu hatimaye imetolewa...
Nimeona kila sehem watu wakimpreshalaizi Diamond kuwa arudiane na mama watoto wake bi Zarina Hassan. Na hiyo ni baada ya wimbo wake wa iyena kutoka huku video vixen akiwa ni bibi Zari so baada ya...
Sio Bongo tu ambapo wanawake hujiongeza kwa kuuza pete za uchumba pale mambo yanapokwenda kombo.
Mwanamuziki tajiri duniani, Mariah Carey ‘ameipiga bei’ pete ya uchumba aliyovalishwa na mchumba...
Ngoja tupunguze stress za vyuma kidogo maana hali tete kila siku wikiendi hii mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Jana ilianza hivi mambo ya Iyena hayoo...
Leo...
Licha ya kutokuwanayo simu ya kupangusa kama wenzangu wa 'mujini' bado sijabaki nyuma kuhusu updates za kila muda zinazoendelea kudrop ulimwenguni, ahsante teknolojia kwa ufea wako utofauti upo tu...
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa unamsikiliza akitangaza au hata akiwa anachangia mada fulani katika Kipindi chao cha asubuhi hutopata shida sana kujua ya kwamba lazima tu alikuwa na Mahusiano mabaya...
Msanii huyo ameandika haya...
"Alhamdulillah Asantee Mungu kwa hiki ulichonipa naishukuru management yangu Chambusso na Mxcarter, nakupenda Mama yangu kokote ulipo kila hatua dua 'new car' Umma...
Machungu unapozimwa,ili ufunikwe na asiyeweza/
Mbaya zaidi wanampa Promo halafu kwenye Show unammeza/
hautaki kuwa tatizo sababu unaweza tatuka/hauwezi jua wapi nitatua ka Jiwe gizani...
Katika pitapita zangu Youtube, nimemwona huyu chalii amefanya cover nzuri ya Je, Utanipenda nikamwelewa sana.
Kwanza ana sauti nzuri, ana mwonekano wa kisanii, anaonekana ni mpole na hana...
Baada ya masaa takribani 13,tangu hit maker wa African Beuty na King of Pop in Afrika ambaye bado anasumbua na ngoma aliyoshirikishwa na harmonize "Kwangwaru,Diamond Platnumz maarufu kama Chibu...
Hii ni makala inayohusu malejendari wa muziki wa hiphop duniani ambao mpaka leo hii wanaheshimika na kuenziwa duniani kote na wapenzi wa muziki kutokana na kutendea haki tasnia ya muziki wa kufoka...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake...
Marehemu Albert Mangwea Ngwair alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.
Habari zinasema kua hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.